Kuna kitu kisicho kiumbe??Wapi hufahamu nlipokwambia kuwa Mjenzi wa Ulimwengu sio Kiumbe? Sasa kama sio kiumbe atajengwa na nani? 😀
Unataka kufananisha na kiumbe chake?
KWANI KISICHOUMBWA KINAMUUMBAJI?
Likikukuta ujue Mungu kaliruhusu ilo ndio. RUHUSA sio UPANGAJI.
Yakusanye yote na uyaweke kwa pamoja kwanza.Mungu kaliruhusu jambo likukute ambalo angeweza kulizuia ila akaamua kuliruhusu at the same time hajapanga likukute. Aisee ujinga mzigo sasa hapo unakua umeandika nini??
Server za jf zina tatizo kwa upande wa app ukitumia mda mrefu kuandika ina discard automaticaly. Lakini hata hivyo nimekujibu na naendelea kujibu kwa ku quote kila kifunguYakusanye yote na uyaweke kwa pamoja kwanza.
Ukweli haliongezi uzito zaidi ya kuzidi kukufunga.
Unaposema kuwa namshusha Mungu uwezo wake kwa kuonesha weakness za Binaadam, naomba nikuulize, unamfananisha na nani?
Fundi Maiko ametengeza binaadam?
Nimetumia logic tu hapo, yaani bila hata maandishi ya kidini
Na ili huyu alieumba ambae amesema kuwa hajazaa wala hajazaliwa basi awe hajaumbwa
Unaweza kuthibitisha yupo?kwa sababu kama angekuwa ameumbwa basi angekuwa na muumbaji wake mpaka infinity na ulimwengu ungekosa order kabisa.
Kusema tu mimi mjinga, kunathibitisha kua mungu hayupo. Mpaka sasa hujaweza hata kuthibitisha uwepo wakeWewe utaniona mimi mjinga, lakini mimi nakuona wewe mjinga, kwa sababu kwenye post yangu nimekwisha kwambia zamani jinsi utakavokuja kuuliza, sasa sijui namie nimekupangia 😀
nishakuambia Hakuna kisicho kiumbe kwanini huelewi??Muumbaji kama sio kiumbe ataumbwa na nani?
Mungu hajakupa ubongo wenye errors lakini, amekupa ubongo wenye kupata elimu, sasa kama hukutafuta elimu utamlaumu nani?
Wapi amekufundisha kuuwa watoto bila hatia?
Wapi kakufundisha wizi?
Wapi huo msingi unaozungumzia ni upi?
hakuna nililojibu au hujataka kulikubali jibu kwasababu liko against god?Kutokuwa na uwezo wa kitu haina maana ya kuwa na uhuru au La. Kuna swali mbele ya swali na hakuna hata moja ulilojibu.
Sio i hope', you dont need to expect for the things that i already did.Mimi naendelea kukujibu, i hope na wewe utayajibu instead of kuzunguka mbuyu
kwenye limitations hakuna uhuru. Umeona unavyojichanganya??Sio kila jambo linawezekana kwa sababu ya limitation aliokuwa nayo kiumbe.
na lile ambalo haliwezi?lile ambalo analiweza hazuiliwi.
Mbona binadaama tumetuma satellite na imeshatoka kwenye solar system? Miaka 1000 iliopita haikuwezekana.
Nitasema unao uhuru kwa sababu kama ungekuwa na uwezo wa kurudisha mda nyuma ungelifanya hilo lakini hujawa nao uwezo huo
kama akili yako haiko sawa, vilivyo sawa utaona si sawa. Sawasawa eeh??Sio sawa sawa kabisa.
Na Abdalla kumuita dulla sio sawa 😀
huwezi kufanya tofauti kwa sababu hujui anachojua.
misuse of logic
Kwani mfano mtu akijua kuwa unampenda Fulani, manake huna uhuru amekuchagulia yeye umpende? Jibu hili swali
Mungu ni Eternal hana chanzo na sio kiumbe
Ikiwa humjui Mungu, sikulaumu ukiuliza ivo. Ili uwe Mungu basi uwe na sifa za kiungu.
Ili uwe Mungu basi uwe na sifa za kiungu.
Unazungumza ikiwa hujatafuta elimu!
Injaalisha dhaifu mbele ya nani
Ukishajua Wizi basi unajua usio wizi.