Nacheka sana.Muungwana akivuliwa nguo huchutana ila nakuona umesizi tu ni kama huelewi kinacho endelea
Nacheka sana.
Nilitaka ujihukumu mwenyewe lakini naona umekataa,sasa ngoja nikufundishe usio ya jua.
Kwanza maana uliyo itoa haina mashiko sababu imeacha ukweli mzima na kuchukua sehemu ndog katika maana ya elimu.
Maana ya Elimu sio mfumo. Hapa nakupa swali su nakupa akina ya maneno katila uhalisia na matumizi ya tamko lenyewe.
Ukitafsiri Elimu kama mfumo utaulizwa ni nini mfumo wa Elimu fulani na Elimu yenyewe ni nini ? Kwa maana, Maana uliyo itoa haijatoa maana halisi ya Elimu. Tamko Elimu linatokana na tamko la kiarabu "العلم" yaani kujua au kufahamu.
Mawanda maana yake ni hali fulani au aina zote,na hapa zinaingia zile elimu za ufundi na mfano wake.
Naona umepagawa baada ya kuona jibu la kamusi halija match na jibu lako ulilookoteza vichochoroni
Umejichagulia silaha ya kukuadhibu mwenyewe, nakupa na hii View attachment 1219244
Hakuna kiumbe kisicho hai, hii ni kwa mujibu wa allah na kuran sio??Hivi kwanza huwa unaelewa ninacho kiandika ? Soma nilicho andika na ukielewe vizuri.
Kwa maana nyingine hakuna kiumbe ambacho sio hai,umeelewa hiyo maana ? Nani amekwambia kuna kiumbe kisicho hai ? Biology sio ?
Swali lingine unajua kwanini hivyo vimeitwa viumbe ukiacha huo uhai ?
Naona umejihukumu mwenyewe. Hiyo maana ya kiumbe uliyoiweka kwanza umeilewa ? Maana tatizo la kutoelewa unalo. Elewa kwanza maana uliyoiweka kisha ujiulize kuna kiumbe kisicho hsi ?Hakuna kiumbe kisicho hai, hii ni kwa mujibu wa allah na kuran sio??
Hujajibu swali nililokuulizaNaona umejihukumu mwenyewe. Hiyo maana ya kiumbe uliyoiweka kwanza umeilewa ? Maana tatizo la kutoelewa unalo. Elewa kwanza maana uliyoiweka kisha ujiulize kuna kiumbe kisicho hsi ?
Haya matatizo ya kujadiliana na watu ambao hawajui wanachokiandika.Hujajibu swali nililokuuliza
Hakuna kiumbe kisicho hai hiyo ni kwa mujibu wa allah na kuran?
Napia neno "hai" wewe unalielewa vipi??
Nimekuwekea hadi picha umeshindwa kujiongeza?Haya matatizo ya kujadiliana na watu ambao hawajui wanachokiandika.
Hiyo maana ya kiumbe uliyoiweka ni kwa mujibu wa nini ? Inaonekana hata unacho kinukuu hukielewi.
Huu utoto mwingine,hii ni elimu,ujiongeze vipi wakati kila kitu kipo wazi ?Nimekuwekea hadi picha umeshindwa kujiongeza?
Maswali mkiulizwa hamjibu,mnapenda muulize kisha mjibiwe. Naokoa muda,najibu swali lako kisha ujibu maswali yangu niliyo kuuliza.Hakuna kiumbe kisicho hai hiyo ni kwa mujibu wa allah na kuran?
Huu utoto mwingine,hii ni elimu,ujiongeze vipi wakati kila kitu kipo wazi ?
Nimekuuliza umeisoma maana uliyoiweka na ukaielewa unasema mambo ya kujiongeza ? Kwa lipi ?
Maswali mkiulizwa hamjibu,mnapenda muulize kisha mjibiwe. Naokoa muda,najibu swali lako kisha ujibu maswali yangu niliyo kuuliza.
Hakuna kiumbe kisicho hai kwa mujibu wa :
1. Uhalisia
2. Misingi ya lugha
3. Qur'aan
Embu jiongeze wewe nikuone katika ile maana ya Kiumbe uliyoiweka na unionyeshe kisicho kuwa na uhai nacho hitwa kiumbe ?
Usiulize swali kabla hujajibu maswali niliyokuuliza.
Huu utoto mwingine,hii ni elimu,ujiongeze vipi wakati kila kitu kipo wazi ?
Nimekuuliza umeisoma maana uliyoiweka na ukaielewa unasema mambo ya kujiongeza ? Kwa lipi ?
Maswali mkiulizwa hamjibu,mnapenda muulize kisha mjibiwe. Naokoa muda,najibu swali lako kisha ujibu maswali yangu niliyo kuuliza.
Hakuna kiumbe kisicho hai kwa mujibu wa :
1. Uhalisia
2. Misingi ya lugha
3. Qur'aan
Embu jiongeze wewe nikuone katika ile maana ya Kiumbe uliyoiweka na unionyeshe kisicho kuwa na uhai nacho hitwa kiumbe ?
Usiulize swali kabla hujajibu maswali niliyokuuliza.
Haya maswali ya ziada,ila swali lako halikutaka maelezo.Kwanini nisiulize swali wakati majibu yako hayajitoshelezi?? Hujaeleza nini maana ya neno "hai"
Hujafafanua unawezaje kujua hiki ni kiumbe katika uhalisia
Hujaeleza Misingi ya lugha gani inasema hakuna kiumbe kisicho hai???
Ulitakiwa utoe majibu yaliyo clear kiasi cha kutoacha uwezekano wa swali kuulizika. Kwanini hukufanya hivyo?Haya maswali ya ziada,ila swali lako halikutaka maelezo.
Maelezo haya nitakupa,ila mpaka ujibu maswali yangu.
Twende kazi.
Nini maana ya kujificha ?Hivi Mungu anaogopa nini mpaka ajifiche?
Twende sawa haya ni maswali mengine baada ya kujibiwa maswali yako.Ulitakiwa utoe majibu yaliyo clear kiasi cha kutoacha uwezekano wa swali kuulizika. Kwanini hukufanya hivyo?
Hujaeleza nini maana ya neno "hai"
Hujafafanua unawezaje kujua hiki ni kiumbe katika uhalisia
Hujaeleza Misingi ya lugha gani inasema hakuna kiumbe kisicho hai???
Ukishindwa mara ya kwanza basi yapili fanya makusudi, kujifanya unajua kila kitu sio mchongo kujifunza hauna budi
Hujaeleza nini maana ya neno "hai"Twende sawa haya ni maswali mengine baada ya kujibiwa maswali yako.
Ufafanuzi unafsta,ila kwa sharti ujibu maswali yangu ya nyuma niliyo kuuliza. Sababu nakujua wewe huwa ni muoga na unakimbia maswali,naomba ujibu maswali niliyokuuliza kisha nakuja kukupa ufafanuzi.
Nasubiri majibu.
Swali na Hoja!
Thibitisha uwepo wa Mungu.
U great thinker wa humu una tabu kweli.Mkuu wewe hujui maana ya kujificha?Nini maana ya kujificha ?
kama Mungu yupo, kwa nini kuna watu wanateseka na maradhi mahospitalini? hao walimkosea nini Mungu?