Hapa umeongea nini?Na mimi ndio nakuonyesha uongo wa kauli yako,na usiwe una andika jambo usilo kuwa na ujuzi nalo sababu unakuwa unaiokosea adabu elimu.
Lazima uulizwe maswali na uyajibu ili ujue uongo na ujinga wako ulipo,na ujue kutofautisha mambo na uijue mipaka yake,sio kila linalo kujia akili mwako unaliandika,wenye akili timamu lazima wachuje.
Na usiwe unasema hovyo bila kuhakiki kauli zako,ulitakiwa ujue ukweli wa kauli yako kabla ya kuiandika. Lazima ujue kutofautisha uumbaji,uundaji na utengenezaji. Wewe kwa akili yako ya kitoto unaweza kusema Gari nalo ni kiumbe ? Ukiulizwa utasema ni kiumbe kisicho hai,hivi una akili wewe ?
Hakuna lugha yoyote inayoyaweka sehemu moja kujenga,kutengeneza na kuumba kisha yakaleta maana moja. Misingi ya lugha nayo uhukumu.
Kila siku nakwambia juu ya umakini na kuhakiki mambo kabla ya kuandika,ili uepuke kuonekana kituko na mjinga.
Unatakiwa uwe unajifunza lugha na aina za maneno. Hapo hakuna maana nje ya hiyo niliyokwambia.Ok na ndio maana tulikua hatuelewani kumbe wewe umelichukua neno kiumbe kwa dhana ya kuumbwa na sio kiumbe
Hakuna kiumbe kabla ya kupitia mchakato wa kumbwa. Huwezi kutenganisha kuumba (Creation) na kiumbe (Being).Mimi sizungumzii kiumbe kwa maana ya creation, nazungumzia kiumbe kwa maana ya living&non living things na ndio maana nasema hakuna kisicho kiumbe umeelewa??
Laiti ungejua maana ya Elimu usinge uliza swali la kitoto namna hii,inaonekana hujui hata elimu ni nini ?Kwanza Elimu gani unayoikusudia hapa ambayo unahisi imekosewa adabu?
Hapo nimeongea haki tupu na ukweli wenyewe.Hapa umeongea nini?
Huwezi kuelewa kauli hizo isipokuwa mtu makini mwenye kujishughulisha na misingi ya elimu.Eti sijui naikosea adabu elimu na blah blah mingi.
Huwa nawaita wendawazimu,yaani wagonjwa wa akili,hata kuhoji mambo hawajui.In fact atheists ni wapumbavu na wanahitaji revelation.
Laiti kama ungejua swali langu halijataka viroja usinge koti inaonekana unaandika vitu ambavyo kuvielezea huviwezi na hii sio mara ya kwanza kwakoLaiti ungejua maana ya Elimu usinge uliza swali la kitoto namna hii,inaonekana hujui hata elimu ni nini ?
fafanua ueleweke mawanda ndio niniHapa nazungumzia elimu na mawanda yake yote.
Hapo nimeongea haki tupu na ukweli wenyewe.
Huwezi kuelewa kauli hizo isipokuwa mtu makini mwenye kujishughulisha na misingi ya elimu.
Kama sisi tunavyomuita muhamad john sinsHuwa nawaita wendawazimu,yaani wagonjwa wa akili,hata kuhoji mambo hawajui.
Tuungane kuwasaidiaHuwa nawaita wendawazimu,yaani wagonjwa wa akili,hata kuhoji mambo hawajui.
Nacheka sana,umekiri kabisa kwamba hujui nini maana ya tamko "Mawanda" halafu hapa chini unasema tena nimekimbia swali. Huu ujinga huwa nauona kwako tu.Usikimbie swali uliloulizwa. Elimu gani unayoikusudia?
Ndio niko nafanya kazi hiyo,ila huwa wagumu kuelewa na wanajidai wajuaji kumbe vituko.Tuungane kuwasaidia
Nakudai kijana.Kama sisi tunavyomuita muhamad john sins
Hiyo hali ya ujuaji inatokana na msukumo wa roho mchafu aliyewajaza hiyo hali ya kukataa uwepo wa muumba wa ardhi na mbingu.Ndio niko nafanya kazi hiyo,ila huwa wagumu kuelewa na wanajidai wajuaji kumbe vituko.
Hata mkiunganisha stuli na meza hamtapata kitandaTuungane kuwasaidia
Nacheka sana,umekiri kabisa kwamba hujui nini maana ya tamko "Mawanda" halafu hapa chini unasema tena nimekimbia swali. Huu ujinga huwa nauona kwako tu.
Kwa kutokujuwa kwako mawanda nini ndio maana unaona nimekimbia swali. Kweli ujinga ni giza na elimu ni nuru.
Mwakitwange ungekaa pembeni kuwapisha wenzako naona wewe huoneshi hata afadhali kwenye tatizo lakoHiyo hali ya ujuaji inatokana na msukumo wa roho mchafu aliyewajaza hiyo hali ya kukataa uwepo wa muumba wa ardhi na mbingu.
Hivi ukiambiwa Kiumbe ni jina unaelewa nini ?Ukimaliza kucheka rejea swali langu
Kijana nimekupa ufafanuzi mzuri sana na nimekuonyesha ni namna gani lugha inavyohukumu na kutupa majibu sahihi.Unaonekana ni mtu unayependa sana show off yani kucheza na majukwaa, lakini nilishawahi kukwambia kua hayo mashindano yako hapa sio mahala pake nenda kwenye jukwaa la lugha utawakuta wenzako. Hapa mimi hata na hoji kila kitu ili niweze kujua nacho kizungumzia ni nini. Na ndio maana nimekuuliza kua elimu unayoikusudia hapa ni elimu gani baada ya kuona unachokizungumzia kina pingana na elimu nayo ijua mimi
Hili tamko mawanda ni tamko maarufu sana kwa mtu msomaji na mfatiliaji wa mambo ya kielimu.Uligundua kua ukitumia neno nalolijua nitakugalagaza kwa hoja yako, hivyo umetumi
Hapa sijakuelewa lakini pia najiuliza hili limeingiaje hapa ?Unaonekana ni mtu unayependa sana show off yani kucheza na majukwaa,
Hiyo maana umeitoa wapi?Hivi ukiambiwa Kiumbe ni jina unaelewa nini ?
Kijana nimekupa ufafanuzi mzuri sana na nimekuonyesha ni namna gani lugha inavyohukumu na kutupa majibu sahihi.
Una maswali yangu kadhaa hujayajibu japo marahisi sana. Ila hakuna hata swali lako nililo acha kujibu.
Namalizana na wewe kwa kukupa maana ya elimu kisha kufunga mjadala na ujihukumu mwenyewe.
Elimu ni kukidiriki kitu au jambo kama lilivyo/kilivyo. Mfano wa elimu ni kama kulenga shabaha kwenye kitu fulani na ukakipata,ile shabaha ndio elimu sasa. Kwahiyo ukiona nakwambia kuhusu Elimu ujue namaanisha hivi yaani naongelea kupatia.
Sasa kwanini ulihitimisha ya kuwa sjajibu swali lako hali ya kuwa hujui maana ya tamko nililo litoa katika kujibu swali lako ? Ujuaji mwingi mwisho unakuwa kituko.
Unauliza tena swali. Ubakubali kwamba ni jina au sip jina ?Hiyo maana umeitoa wapi?