Ndio maana nikaita ni imani nusu na robo imani isiyotimia na yenye mkanganyiko mkubwaMkuu ma atheist wana akili sana kwa sababu
Madai yasiyo na ushahidi yanaweza kupingwa bila ushahidi vile vile.
Ukisema Mungu, yupo halafu ukaeleza masuala ya roho na akili bado huja prove kwamba Mungu yupo.
Sawa nimekusomaNdio maana nikaita ni imani nusu na robo imani isiyotimia na yenye mkanganyiko mkubwa
Nimekuelewa vizuri sana lakini sasa ndio pale ninapozungumzia kuhusu contradiction kwamba atheism haipingi uwepo wa Mungu bali haitambui hiyo dhana!Ili kuzuia mafuriko lazima mafuriko yawepo au yawe yamewahi kutokea...kama hujawahi kuona mafuriko wala hayajawahi kuwako huwezi kuyazuia.Kwa hiyo Atheism haipingi uwepo wa Mungu bali haitambui uwepo wa Mungu kutokana na kukosekana kwa ushahidi wenye nguvu.Kupinga kitu ni kule kukataa kukikubali hata kama kitakuwepo, lakini kwenye Atheism ukipeleka ushahidi wa kueleweka kwamba Mungu yupo, basi Imani juu ya uwepo wa Mungu itakubalika.Kukataliwa kwa imani juu ya uwepo wa Mungu kwenye Atheism ni kutokana na ukosefu wa ushahidi wenye nguvu juu ya uwepo wake na siyo kwamba ni kasumba ya kukataa tu.Kama Mungu atajitokeza leo na kujidhihirisha kwa watu, Atheism itafikia ukomo wake.
Hata mimi nimependezwa na mjadala mkuu, lakini kusema kwamba Atheism ni Imani kwa sababu wachangiaji wa JF wamesema hivyo, siyo kweli....Kwani wadau wa JF wakisema Rais wa JMT nni EL itakuwa kweli? hapana hivyo Atheism siyo Imani.Mkuu nadhani michango ya wadau wengi humu imebainisha kuwa hiyo ndo imani yao.Mimi nafurahi tu kuwa tunajadiliana.Tunahoji hata yale ambayo wenzetu wamepata ku-assume kuwa yako vile au hivi.Ni jambo jema.Ndio chakula cha akili.Na ile "Nguvu kuu" kuliko nguvu zote inatujalia yote haya.
Kuna kitu wengi tunashindwa kukikiri ili uwe atheist ni lazima uwe na msingi...na hapa ndio dhana ya imani inapotokeaSawa nimekusoma
Wako vizuri sana ma atheist nawakubali kwa kweli
Post nzuri ila kidogo umetumia lugha isiyo rafiki sana kwa mjadalaNyie wapendwa mnajibizana na wapumbavu maana Neno linasema wazi ya kuwa ******** amesema moyoni mwake kuwa hakuna Mungu. Pia katika Mithali inasema ******** hata ukimtwanga katika kinu upumbavu wake hatoisha wala kumtoka hawa ni kuachana nao. Mara ni imani wao wanasema sio imani, ni dini wao wanasema sio dini . dhamili zao zinawashuhudia ya kuwa Mungu yupo ndio maana kila siku kuichambua Biblia Takatifu pamoja na vitabu vingine vya dini. Wanachotaka wao wanataka Mungu ajidhihirishe kwao ka ilivyokuwa kwa Tomaso kitu ambacho Mungu kwa hivi sasa hafanyi maana alishasema heri yao wanaoamini pasipo kuona na pia mwenye haki wa Mungu ataishi kwa imani. Ngoja waje wakutane naye ndio watajua yeye ni nani lakini hili la kuonana naye uso kwa uso wasahau aiseee.
Mkuu, nashangaa kwa nini watu wanaleta ubishi. Kukiri kwamba Mungu au shetani hayupo ni lazima ujenge imani kwamba hakuna Mungu wala shetani, likewise kukiri kwamba Mungu ama shetani yupo ni lazima ujenge imani katika mafundisho hayo.Umesoma maana ya imani? kwa mujibu wa hiyo dictionary au unabisha tu? Imani inahusu chochote unachoaminini mfano: Mungu ama jiwe ama chochote. unapoamini hakuna ni "imani juu ya hakuna" maana hutathibtisha. Rudia hiyo definition au tafuta dictionary yako ulete hapa.
Ma atheist ndio wanapinga mambo kama hayo, biblia kusema kuwa yuko Mungu, haifanyi uyo Mungu awepo. Nenda beyond the bibleNyie wapendwa mnajibizana na wapumbavu maana Neno linasema wazi ya kuwa ******** amesema moyoni mwake kuwa hakuna Mungu. Pia katika Mithali inasema ******** hata ukimtwanga katika kinu upumbavu wake hatoisha wala kumtoka hawa ni kuachana nao. Mara ni imani wao wanasema sio imani, ni dini wao wanasema sio dini . dhamili zao zinawashuhudia ya kuwa Mungu yupo ndio maana kila siku kuichambua Biblia Takatifu pamoja na vitabu vingine vya dini. Wanachotaka wao wanataka Mungu ajidhihirishe kwao ka ilivyokuwa kwa Tomaso kitu ambacho Mungu kwa hivi sasa hafanyi maana alishasema heri yao wanaoamini pasipo kuona na pia mwenye haki wa Mungu ataishi kwa imani. Ngoja waje wakutane naye ndio watajua yeye ni nani lakini hili la kuonana naye uso kwa uso wasahau aiseee.
Imani ni kule kukubali kwamba kitu flani kipo.Na ili uamini lazima pawepo na ushahidi wa kuwepo kwa unacho amini kipo.Imani zipo za aina mbali mbali, kwa mfano mimi naamini kwamba Rais wa JMT ni JPM kwa kuwa kuna ushahidi.Lakini Atheism haikubali Imani inayosema Mungu yupo kwa sababu hakuna shahidi za kusapoti hiyo imani.Umesoma maana ya imani? kwa mujibu wa hiyo dictionary au unabisha tu? Imani inahusu chochote unachoaminini mfano: Mungu ama jiwe ama chochote. unapoamini hakuna ni "imani juu ya hakuna" maana hutathibtisha. Rudia hiyo definition au tafuta dictionary yako ulete hapa.
Mfano ni mdogoHata mimi nimependezwa na mjadala mkuu, lakini kusema kwamba Atheism ni Imani kwa sababu wachangiaji wa JF wamesema hivyo, siyo kweli....Kwani wadau wa JF wakisema Rais wa JMT nni EL itakuwa kweli? hapana hivyo Atheism siyo Imani.
Hata mimi nimependezwa na mjadala mkuu, lakini kusema kwamba Atheism ni Imani kwa sababu wachangiaji wa JF wamesema hivyo, siyo kweli....Kwani wadau wa JF wakisema Rais wa JMT nni EL itakuwa kweli? hapana hivyo Atheism siyo Imani.
Nadhani hizo bibilia wanazisoma ili ku pata majibu zaidi ya wanao amini uwepo wa Mungu, na kwakuwa wanao amini Mungu silaha yao kubwa ni bible na quran basi lazima uzijue kiaina ili kuweza kuwa kaunta.Kuna kitu wengi tunashindwa kukikiri ili uwe atheist ni lazima uwe na msingi...na hapa ndio dhana ya imani inapotokea
Ni lazima usome Biblia na Misahafu mingine halafu usikubaliane na kile kilichoandikwa mle... .uwe na uwezo wa kuhoji
.kile kitendo cha kusoma Biblia na mafundisho mengine ya jinsi hiyo tayari unakuwa umejengeka kiimani, imani juu ya Mungu uwepo wake nk halafu ndio sasa uende kinyume na hayo yote
Unajua kuna vitu vingine vimejaa upotoshaji na atheism ni kimojawapo! Dhana ya uwepo wa Mungu ni ya kiroho zaidi kuliko kimwili, na vitu vya kiroho ni vya kiimani zaidi visivyoonekana na visivyoweza kuthibitishwa kisayansi lakini haiondoi ukweli na uhalisia wakeImani ni kule kukubali kwamba kitu flani kipo.Na ili uamini lazima pawepo na ushahidi wa kuwepo kwa unacho amini kipo.Imani zipo za aina mbali mbali, kwa mfano mimi naamini kwamba Rais wa JMT ni JPM kwa kuwa kuna ushahidi.Lakini Atheism haikubali Imani inayosema Mungu yupo kwa sababu hakuna shahidi za kusapoti hiyo imani.
Nilitaja sifa za kusema kitu kina akili, nazo ni;Nimekuelewa vizuri sana lakini sasa ndio pale ninapozungumzia kuhusu contradiction kwamba atheism haipingi uwepo wa Mungu bali haitambui hiyo dhana!
Kwenye msingi wa post nimeuliza kuhusu akili... kwamba akili unazo zipo(dhana) lakini hukiri uwepo wake
Je hizo sheria zitakuwa ni ushahidi tosha juu ya uwepo wa Mungu?.Mfano ni mdogo
Ukisikia nchi inatunga sheria za dini , sheria hizo haziwezi kuwahusu ma atheist, sema pia wanao dai ni dinibwana sababu zao.
Na huu ndio mkanganyiko mwingine nilioutaja kwenye postNadhani hizo bibilia wanazisoma ili ku pata majibu zaidi ya wanao amini uwepo wa Mungu, na kwakuwa wanao amini Mungu silaha yao kubwa ni bible na quran basi lazima uzijue kiaina ili kuweza kuwa kaunta.
Ila msingi wao mkubwa ni reasoning na science.
Kwa nini dictionary zinakuwaga na edition mbali mbali? ni sababu ipi inayokufanya uiamini dictionary?Sio kweli kwamba ni wadau wa JF ndio waliosema hivyo tu, tumenukuu na source zingine kama dictionary inayotoa maana ya neno belief. Mbona unaondoa base ya argument yao?
Haya ndio yale maarifa yaliyotajwa kwenye Biblia hasa kwenye kitabu cha methaliNilitaja sifa za kusema kitu kina akili, nazo ni;
Reasoning
Thinking
Memory storage and recalling
Spatial functions etc.
Hizi tabia ndio zina mfanya mtu asemekane kuwa ana akili.Tabia zote hizo hufanywa na cell mbali mbali za ubongo.Mashine za kisayansi kama MRI zimeshaanza kutumika kuonesha ni sehemu ipi ya ubongo inafanya kazi zipi.Hivi ushahidi wa kuwepo kwa akili tunaweza kusema upo.
HapanaJe hizo sheria zitakuwa ni ushahidi tosha juu ya uwepo wa Mungu?.