Atheism: Imani nusu na robo

Hujanionesha nilivyokulazimisha. Mimi nimekuuliza, unaweza kujibu, unaweza kupotezea.

Unaweza kunionesha nilivyokulazimisha?

Hujanionesha bado.
Ndiyo naweza kujibu...haya nijibu swali nililokuuliza.
 
Akina nani hao?
 
Yaani we jamaa ni mgumu wa kuelewa sana, ukubwa wa hizo sayari kaangalie machapisho ya NASA...kumbe hujui hata bahari ni nini? na haya maswali yako yanahusiana vipi na mada?...kweli Africa ni dark continent.
kama unaweza kuamini NASA wanavipimo vya ukubwa wa sayari zote zilizo kwenye solar system yetu, achia mbali billions of stars ambazo ziko kwenye different galaxies, Africa is a dark continent indeed
 
Nakwambia ni shida ndugu yangu, watakwambia wewe hujasoma jiografia, sayansi au ugunduzi wa NASA. Nikiwauliza kama science ime explore the entire universe hadi waje na conclusions kwamba hakuna Mungu, wanabwabwaja visivyoeleweka.
 
Nilianza kumuita mjinga kwa maana ya kwamba akibadilishana mawazo name ana nafasi ya kuelewa, baadaye hapo juu nilimhitimisha kwenye upu.mbavu.
 
Nakwambia ni shida ndugu yangu, watakwambia wewe hujasoma jiografia, sayansi au ugunduzi wa NASA. Nikiwauliza kama science ime explore the entire universe hadi waje na conclusions kwamba hakuna Mungu, wanabwabwaja visivyoeleweka.
Kani atheist lazima akubali sayansi?
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Akina nani hao?
Hawa walianza kuwepo kuanzia karne ya 5bc lakini hawakuwa maarufu sana hadi Karne zama za ENLIGHNEMT kwenye karne ya 15AC. Hapa ndio wazungu walipaoanza kuwa huru kimawazo na uhuru huo ulipelekea kila mmtu kuwa na fikra na ideology za kila aina. Ila wengi wenye ilengo hii walikuwa linked na freemasons mambo haya yakifanyika kwa wingi kwenye freemasonry lodges. Mfano Benjamin Flanklin, Charles dawrin na huyu myahudi Karl marx. wengi illuminati na free masonry 33 degree. Ila hawa wengi wanaunga unga kwa kuwa hawapendi kujua mizizi ya haya mambo.
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Atheism ni Imani kama kipara kilivyo mtindo wa kusuka nywele.
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Atheism ni Imani kama kipara kilivyo mtindo wa kusuka nywele.
Ndio ungemwambia huyo mwenzako kwamba ni imani na sio alichokazania eti kutoamini chochote.

Kwanini unapenda kuthibitishiwa wakati wewe mwenyewe huwezi kuthibitisha your claims walau hata kwa maelezo mafupi tu?

Kwanza niambie wewe nini maana ya miujiza na chanzo chake ni nini.
 
Wewe hata hujaelewa nilichoandika. Rudia kusoma.

Uwezo wako wa uelewa ni mdogo.

No wonder unaamini Mungu yupo.
 
Wewe hata hujaelewa nilichoandika.

Uwezo wako wa uelewa ni mdogo.

No wonder unaamini Mungu yupo.
Na haya ndio majibu yako wewe jamaa na hivi ndivyo unavyoipeleka mijadala huwa hutoi jibu hila unahitaji majibu na hata kudhubutu kuleta maneno ya shombo na dharau.

Kwa hiyo kuamini hakuna Mungu ndio kuwa na uelewa mkubwa!?

Hata mimi nimeshakuona wewe ni much knowing tu huna lolote.

Ya nakubali mimi ni mjinga kwa kuamini Mungu yupo kwani hata mimi pia vile vile nina mtazamo binafsi kwa watu wasio amini uwepo wa Mungu.
 
Nakwambia ni shida ndugu yangu, watakwambia wewe hujasoma jiografia, sayansi au ugunduzi wa NASA. Nikiwauliza kama science ime explore the entire universe hadi waje na conclusions kwamba hakuna Mungu, wanabwabwaja visivyoeleweka.
Hawana argument yoyote ya ushawishi kuonesha kuwa hakuna Mungu hawa wanaojiita atheist sema wao ni kama critics tu wa Mungu. Na hiyo science ndio kabisa kuna mambo kibao ambayo haiwezi kukupa majibu ya uhakika tukianza na hiyo universe.
 
Hujaelewa, umeambiwa hujaelewa, halafu hata huna udadisi wa kuuliza hujaelewa nini.

No wonder unaamini mauzauza.
 
Lazima uelewe uwepo wa Mungu una thibitishwaje, ila usiseme hauja thibitishwa
 
Mimi kama mtu nae amini Mungu yupo naelewa ni jambo la kiroho zaidi, na si swala la kuona kwa macho au kuthibitisha kisayansi...

Imani yangu mimi misingi yake sio sayansi na haiusiani na sayansi yoyote ya dunia hii...

Kusema kwamba mtu akuthibitishie kisayansi Mungu yupo ni kumuekea mtu mipaka ya uthibitisho...

Sayansi inakua kila siku kwamba taaluma na uelewa wa vitu tofauti unaongezeka, na ndio maana kuna miaka iliyopita yule aliesema dunia ni duara watu hawakuamini kabisa, hata yule alie waambia ipo siku mwanadamu ata toka upande mmoja wa dunia hadi mwingine kwa njia ya anga nae hawakumwelewa na kuna waliokufa wakidhani niuongo....

Sayansi sio kwamba kipindi hiki ndio inaweza kuleta uthibitisho wamambo yote, ukiachilia mbali ya dini, sayansi yenyewe haijitoshelezi...

Dini na imani hazijaanza leo, kipindi hiko imani zinaanza anza manabii walipewa ishara zote na ndio maana wakaamini na wakafa wakishuhudia imani zao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…