Atheism: Imani nusu na robo


Mimi sio atheist na niite lost soul or whatever (which actually proves my point, you are intolerant even though u claim not to be). Nakushangaa unasema you never stated kua atheists should cease to use westeners arguments, rudi pitia post yako that's exactly what you wrote. Unaanza kubadilisha mambo baada ya kuona argument yako haikua valid.

Alafu don't talk about science when you know nothing about it. Unasema its still in an infant stage, hehehe are u kidding me? Just because we can't do teleportation doesn't mean science hasn't grown, infact it has grown exponentially, its very mature, we are still a type I civilization lakini what we have achieved is very great.

I'm surprised unai-ditch science when its the reason upo jamiiforumns leo unapost, its the same thing that makes it possible for you to talk to someone who is on another country, you could even talk to someone standing on the moon because of this science unayohisi its wrong, ndiyo some rules zinabadilika, lakini ipo classical ambayo it has been proven and it won't ever change, scientists wanaposema dunia ni 4.5Billion years old kwa kutumia radioactivity, who are you to think otherwise? leo hii ni kitu naweza kukiprove laboratory na ukakiona, na same law inatumika kwenye vitu kama generation ya nuclear energy, umeme wa nuclear upo, kwa nini tuseme its wrong when its clear that it works?

We uliza swali lolote unalotaka kuuliza ambalo unahisi ni scientific na sitokua na jibu, maana hata mimi nikikuuliza kuhusu mambo ya dini utabaki umehaha tu, huwezi hata kunipa proof kua mungu wako ndiye mungu wa kweli zaidi ya kuspeculate, em nipe jibu according to the bible Earth is like 6000 years old, what evidence is there to backup your claim? usiniambie amini tu kama ilivyoandikwa, hata bible inakwambia utumie akili.
 
Naona umemkataa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawa watu ni wazuri sana kwenye kujitoa ufahamu.Uvivu wa kudadisi na kuuliza ukweli/uhakika wa kitu unawafanya kuwa wafuasi wa majority belief, wanafuata wasicho kijua na kwenda wasikokujua....wana vichwa lkn wapo wapo tu...hafikiri juu ya wanachokiamini.....nadhani ndio maana baadhi yao huitwa wana wa kondoo kwa kuwa na sifa za kikondoo.
 
Haya tuendelee hakuna shida
Mshana....

Usitegemee kupata muafaka wa kitu chochote hapo kutoka kwa hawa viumbe hawanaga majibu ya maswali wanayoulizwa na ni wepesi kudivate mjadala kukupeleka wanakotaka wao.

Hapo mtazunguka sanaa
 
Mshana....

Usitegemee kupata muafaka wa kitu chochote hapo kutoka kwa hawa viumbe hawanaga majibu ya maswali wanayoulizwa na ni wepesi kudivate mjadala kukupeleka wanakotaka wao.

Hapo mtazunguka sanaa
Najua sana ndio maana nawapeleka kwa tune yao
 
Nijibu kama ni uhalisia ama la na kwanini
Si uahlisia, kwa sababu mimi ni atheist, siamini uwepo wa ungu, lakini sababu yangu inayonifanya nisiamini uwepo wa Mungu si kwa sababu haonekani.

Naamini jua litachomoza kesho, ingawa sijaliona jua likichomoza kesho.

Naamini Ikulu ya Tanzania Magogoni ipo haijapigwa bomu leo. Ingawa siioni.

Naamini Mkuranga haijaliwa na viwavi jeshi saa moja lililopita. Ingawa siioni Mkuranga sasa hivi.

Kutoamini kwangu kwamba Mungu yupo hakuhusiani na Mungu kutoonekana, kwa sababu kuna vitu vingi ambavyo sijaviona naamini vipo.

Hivyo wewe kusema atheists wote hawaamini uwepo wa Mungu kwa sababu Mungu haonekani ni ujinga, uongo na uvivu.

Ushaelewa?
 
Sijakuelewa kwakuwa unaongea kufikirika ila kwakuwa hicho ndicho unachokijua sina tatizo hata chembe.
 
Sijakuelewa kwakuwa unaongea kufikirika ila kwakuwa hicho ndicho unachokijua sina tatizo hata chembe.
Kwanza siongei, naandika.

Ikiwa huwezi kuelewa hilo, mengine sitegemei uelewe.

Sitegemei uelewe period.

Kwa sababu wewe ni mjinga, muongo na mvivu.

Tena una ubishi wa kipumbavu, upumbavu ni mbaya kuliko ujinga.
 
Kwanza siongei, naandika.

Ikiwa huwezi kuelewa hilo, mengine sitegemei uelewe.

Sitegemei uelewe period.

Kwa sababu wewe ni mjinga, muongo na mvivu.

Tena una ubishi wa kipumbavu, upumbavu ni mbaya kuliko ujinga.
Sawa unasema hivyo kwakuwa tu sikubaliani na mitazamo yako kwahiyo kwangu bado sioni tatizo
 
Utajuaje mtu anajitoa ufahamu wakati nyie mnawatoa watu nje ya mada...mmeacha kujadili mada mmenda kubishania suala ambalo halina mchango wowote humu.
 
Sawa unasema hivyo kwakuwa tu sikubaliani na mitazamo yako kwahiyo kwangu bado sioni tatizo
Hata ukikubaliana ma mitazamo yangu kwa sababu za kijinga, kivivu na kiongo nitakwambia hivyo hivyo.
 
Utajuaje mtu anajitoa ufahamu wakati nyie mnawatoa watu nje ya mada...mmeacha kujadili mada mmenda kubishania suala ambalo halina mchango wowote humu.
"Nyie" kina nani?

Nje ya mada ni wapi? Ndani ya mada ni wapi?

Suala ambalo halina mchango wowote humu ni lipi?

Nani kakupa madaraka ya kuamua hili ni suala lenye mchango wowote humu na hili halina mchango wowote humu?

Unajuaje hili lina mchango wowote humu na hili halina mchango wowote humu?
 
Kwani we unaniuliza kama nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…