abdulrahmana
JF-Expert Member
- Aug 4, 2016
- 225
- 132
Unaposema vitabu vyetu vya dini vinakanganya,inabidi uanishe ni vitabu gani na wapi vinakanganya.Nakuunga mkono ndugu mshana jr , tatizo kinachowapa jeuri atheist ni baadh ya mikanganyiko iliyopo kwenye vitabu vyetu vya dini… ila kiukwel ulichosema ni sahihi
Hiyo si chagizo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya yapo tu popote pale tubaki na msingi wa mada...usidhani chagizo kama hizo zitanitoa kwenye mstari
Kipara ninini?kusuka ninini? Kunyoa ninini? Kwanini unaamini kuwa hali ya kutokuwa na hicho kinachoitwa nywele ni kipara? Kwanini unaamini kuwa hilo tendo la kunyonganyonga hicho kinachoitwa nywele ni kusuka?Kwani Imani ni lazima iwe dini?
Tukija kwenye dini. Ukifanya Imani za dini ziwe kama mitindo ya kusuka nywele, atheist ni mtu anayeikataa mitindo yote ya kusuka nywele na kunyoa kipara
Unaweza kusema huyu mtu anayekataa kusuka nywele na kunyoa kipara kipara chake ni aina ya kusuka nywele?
Ukisema Atheism ni imani ya kidini ni sawa na kusema Flaviana kasuka nywele hapa.
Kipara ninini?kusuka ninini? Kunyoa ninini? Kwanini unaamini kuwa hali ya kutokuwa na hicho kinachoitwa nywele ni kipara? Kwanini unaamini kuwa hilo tendo la kunyonganyonga hicho kinachoitwa nywele ni kusuka?
*zingatia nimetumia neno kuamini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona umefika mwisho wa kufikiri au joto la mjadala limekuzidi ndio maana unaaza mipashoHiyo si chagizo.
Unadanganya wasiokujua kwamba "umekaa na atheists" wakati kiukweli umekimbilia uji wa temple.
Umeandika ujinga na uongo kwamba kila atheist haamini Mungu yupo kwa sababu Mungu haonekani.
Huu ni ujinga na uongo ambao haupaswi kuachwa bila kumulikwa.
Acha kupotosha watu.
Hapana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona umefika mwisho wa kufikiri au joto la mjadala limekuzidi ndio maana unaaza mipasho
Ningekuwa naandika upotoshaji au uongo au ujinga usingehangaika na mimi kiasi hiki..! Ungenipuuza in the first place
Huu uzi tu uthibitisho tosha.... Sasa niongezee nini tena?? Eti imani nusu na robo.[emoji1] [emoji1]Thibitisha
Mi toka majuzi nimewaunga mkono atheists maana nimefuatilia mijadala yao humu hasa Kiranga nimeona wako sahihi tu kuliko hawa wanaojifanya wafia Dini. Niko pamoja nao nafuatilia tena nifunguke zaidi kifikra kuliko kufungwa na imani za Dini.Lakini hata wao hawajui wanasimamia nini
Duu muongo mjinga na mvivu naona limeongezeka jipyaHapana.
Ninakujibu kwa sababu unaandika uongo na ujinga.
Uongo na ujinga usipojibiwa unaweza kuaminiwa na wengine.
Nina wajibu wa kuumulika uongo na ujinga.
Sitaki kuupuuza uongo na ujinga, sina uvivu huo. Kama wewe ni mvivu, usifikiri kila mtu ni mvivu.
Sasa unajiongezea sifa.
Wewe si tu ni muongo na mjinga.
Wewe ni muongo, mjinga na mvivu.
Obviusly you have never heard of Socrates or seriously read Jesus.Jibu kwanza nilichokuuliza swali halijibiwi kwa swali ni dalili za kushindwa kushughulisha ubongo
Nashukuru kusikia hilo mkuu.Mi toka majuzi nimewaunga mkono atheists maana nimefuatilia mijadala yao humu hasa Kiranga nimeona wako sahihi tu kuliko hawa wanaojifanya wafia Dini. Niko pamoja nao nafuatilia tena nifunguke zaidi kifikra kuliko kufungwa na imani za Dini.
Natabiri nini wakati maandishi yako yanaanika ujinga wako ?Naona unaingia kwenye utabiri sasa
Mkuu unavyoongea ni kama vile una~assume jamaa assumptions zao zote ni za uongo, ila nikuulize kitu, una uhakika gani kua wenye imani ndio wako correct? kwa kifupi kila mtu anaamini anachokiamini ila ukweli ni kwamba hakuna mwenye 100% proof kua anachokiamini ndicho cha kweli.
Waislamu wanaamini kwa mtume, Wakristo wanaamini Yesu, Wahindi wapo wanaoamini ng'ombe, Wachina wapo wanaoamini Buddha, kuna dini zaidi ya 1000, na miungu zaidi ya 5000. Kila moja ya wafuasi wa hizi dini anaamini mungu wake ndiye wa kweli, anayeamini kwa Mungu moja yeye ana uhakika gani kua wa kwake ndiye wa kweli? Sanasana tunaongea lakini ukweli unabaki palepale, wengi tumeshika dini fulani kwa kua tumezaliwa na kukulia huko, ila ingekua mtu hufundishwi dini hadi ufikir umri labda miaka 18, leo hii dini ingeonekana kama story za The Avengers tu.
Cha muhimu ni kuheshimiana na kua tolerant, vitabu vingi vya dini vina mambo mazuri ndiyo, lakini vinayo mabaya pia, vipo vinavyoruhusu mauaji ya binadamu mwenzako, vingine vinaruhusu slavery, mambo ya kutoa kafara, ni vitu vya ajabu na watu watatafuta kila explanation kuziba huo ukweli ila ukweli uko palepale. Hivi vita hamtovimaliza, vilikuwepo zaidi ya miaka 2000 iliyopita, leo mnachofanya ni kurudia tu ila hamna kipya chochote, atakayekuja kuprove haya ni Mungu tu kama atajitokeza kweli au kama hatokuja kutokea milele then atakua hayupo ila hiyo milele sasa wengine hatutokuwepo by then kwa hiyo hatutojua, labda miaka 10,000 ijayo bado tu watakua wanamsubiri.