Umeandika[emoji23] [emoji23] [emoji23] bado unazidi kuandika hisia na mitazamo binafsi wewe ndio ulitaka kunitoa kwenye mada husika nikakulazimisha kubaki hapo sasa unakuja na poor reasoning kama hii! Duu...!
Jaribu kumuuliza atheist yeyote kwanini huamini katika Mungu atakwambia kwakuwa hajawahi kumuona! Ila muulize kama alishawahi kuiona akili yake au roho yake...hatakupa jibu moja na la moja kwa moja
Je kuto kuamini ni imani?Suala la imani ni kitu cha binafsi mno kwahiyo utaamua kuamini au kutoamini kutokana na vile utakavyoona wewe mwenyewe na kwa uamuzi wako binafsi baada tu ya kujiridhisha
Usirudie kuuliza kama unaona ni ujinga na uongo unaandika kinyume chake kinyume cha ujinga na uongoUmeandika
Unakubali kwamba hiki ulichoandika na ambacho mpaka sasa hujakisahihisha ni ujinga na uongo?
Atheists wote hawaamini kuwapo kwa Mungu kwa sababu haonekani?Usirudie kuuliza kama unaona ni ujinga na uongo unaandika kinyume chake kinyume cha ujinga na uongo
..kuendelea kuniuliza mimi haitasaidia kwakuwa nina hakika nilichoandika sio ujinga wala sio uongo
Ina tegemea una maanisha nini ila kama ni kwa muktadha wa kidini kutoamini pia ni imani iliyo kinyume na kuamini
Soma mada uliyoleta na hii post yako then ujitafakari.Ina tegemea una maanisha nini ila kama ni kwa muktadha wa kidini kutoamini pia ni imani iliyo kinyume na kuamini
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mimi nimepractice atheism kwa miaka 2, nimeishi nao 24/7 katika kipindi chote hicho kwahiyo nilipoweka hii mada niliweka kwa maana kamili
Unakataa nisiulize kwa nini?Usiendelee kuuliza andika unachofahamu
Kipara ni kutokuwa na nywele.Kipara ni dini?
Wewe huja practice atheism.Mimi nimepractice atheism kwa miaka 2, nimeishi nao 24/7 katika kipindi chote hicho kwahiyo nilipoweka hii mada niliweka kwa maana kamili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya yapo tu popote pale tubaki na msingi wa mada...usidhani chagizo kama hizo zitanitoa kwenye mstariWewe huja practice atheism.
Wewe umekimbia njaa kwenu kwenda kuishi na Buddhists South Africa kwa hila. Ulikuwa huna uwezo wa kutoka Tanzania ukaona hiyo ndiyo njia yako.
Atheism si dini useme "nimekaa nao".
Ah! Mshana bana! We ushaambiwa wao hawaamini mambo ya Mungu, sasa wewe unawauliza eti Roho! Watakuukiza wewe sasa, maana hayo mambo ya kusadikika ndio hawataki.View attachment 395344
kwenye ulimwengu wa vipimo kuna ujazo mbalimbali kama robo nusu na kitu kamili nk.. nusu mbili hutengeneza kitu kamili robo mbili hutengeneza nusu.
Kuna kamchezo ukimtuma mtu asiye mwaminifu akuletee kitu kinachohusika na vipimo kupiga bao! Ukimtuma kilo moja yeye ataleta nusu na robo.
Duniani tuna imani mbalimbali kuanzia zinazoabudu Mungu mmoja,miungu vitu vinavyoonekana hata masanamu kwenye hizi imani kuna mitifuano na mikanganyiko mingi tuu..lakini kiboko ya imani zote ni hii isiyomwamini Mungu mmoja
Jaribu kumuuliza atheist yeyote kwanini huamini katika Mungu atakwambia kwakuwa hajawahi kumuona! Ila muulize kama alishawahi kuiona akili yake au roho yake...hatakupa jibu moja na la moja kwa moja
Hii ni imani isiyotimia isiyojua dhima yake mwanzo wake wala muktadha wa nini inasimamia
Ni imani chongo yenye kengeza barobaro...ikiamini isichokiamini..ikifuata isichokijua
Je atheism ni;
Kuabudu miungu?
Kuabudu shetani?
Kuabudu masanamu?
Kuabudu vitu ?
Ama kutoabudu chochote?
Kila imani ina maelezo fulani kwenye chochote na kila swali lina jibu lake tusiiweke sayansi kwenye kundi la imani..hili ni Somo kama masomo mengine
Kutoamini chochote ni mkanganyiko tu wa akili kwakuwa mwisho wa siku utajikuta unaangukia kwenye imani yoyote japo kwa kificho na imani ya kutoamini chochote ni imani isiyotimia
Kwani Imani ni lazima iwe dini?Nijibu kipara na dini?ufafanuzi mwingine utakuja baadae