Athari zinazopatikana kwa mtoto alielelewa na Single mother

Athari zinazopatikana kwa mtoto alielelewa na Single mother

Bacteriophage

New Member
Joined
Aug 13, 2025
Posts
2
Reaction score
1
Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba).

Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao kukataa kuendelea kuishi kwenye maisha ya ndoa wakiamini ya kwamba wana uwezo wa Kusimama Peke yao.

Ili jamii iweze kupata elimu na kuachana na jambo hili, Kwa pamoja tuzitaje athari ambazo mtoto anaweza kuzipata endapo atalelewa na single mother.

NB: Single mother tunaemzungumzia hapa ni yule aliekosa uvumilivu kwa mwenza wake.
 
Back
Top Bottom