Athari za ukatili zinavyowatesa walimu

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndezi mamaako aliekufundisha ujinga wa kudharau walimu
Leo nilikuwa Msiba Fulani hivi,kulikuwa na walimu kama wanne hivi wanapiga story.
Eti wanaambiana hivi Huyu Spika Wa bunge ni mandazi kweli eti anadai walimu wafundishe masomo matatu,wakati haiwezekani kabisa.anasahau kuwa tuliwabeba wakati Wa uchaguzi wakaiba kura Leo hii anataka kutulazimisha mambo yasiyowezekana.

Afu Dogo we utakuwa ni mwalimu Wa (UPE).
Yaani ualimu pasipo elimu,Voda faster.
 
Kama tumewaelimisha hadi mkaelimika na kugundua sie ni mambumbumbu basi mission accomplished. Na mkawe na mafanikio zaidi, hilo ndilo tunawaombea, walaa hatuwatakii mabaya.
Mnaonewa sana.
Has a wakati Wa uchaguzi mnaposimamia uovu dhidi ya haki.
 
Acheni kuwafanyia watoto ukatili kwa kisingizio cha kuwafanya wawe na tabia njema

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Acheni kuwafanyia watoto ukatili vinginevyo laana za umaskini zitaendelea kuwatafuna

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mbona unazungukia mbali chief!?

Ishu hpa ni ukatili mnaowafanyia wanafunzi kwa kisingizio cha kuwafunza adabu

Acheni ukatili, unamchapa mtoto fimbo ishirini mpaka anaona shule chungu halafu makosa yenyewe ni ya kipuuzi Tu!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Muwafunze adabu kwanza, then mambo yatakuwa rahisi tu. Ila mkikimbia majukumu bakora zitawahusu tu.
Adabu zipi mnazozingumzia

Yaani mtoto kuchelewa dk moja shuleni mnamshushia rundo la fimbo km vile ameua!?

Definition ya adabu kwenu ni tofauti kbsa

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni Ticha na kesho watakaochelewa nawatindua fimbo za kutosha. Na hayo maisha magumu mnayosema mbona Mimi Sina?
Na tutawalipa mishahara ya kima cha chini mpaka muwe watumishi fukura wa mwisho kenge nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimegundua Jf walimu ni wengi sana.Kwa waliojitokeza tu hapa,wanatosha sana kufanya uzi uonekane ni uongo,anyway Hongereni kwa kazi walimu.
 
Aiseee kazi ipo kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…