Athari za nyumba za NHC UPANGA kuuzwa kwa Wahindi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,840
1. Inaibua chuki na hasira kati ya wazawa na serikali yao
2. Inaibua chuki kati ya weusi na wahindi
3. Inasababisha na kuongeza hisia kuwa nchi imeuzwa.
4. Inatuongezea machungu na kutukumbusha Nyerere aliye zinyang'anya na kuzitaifisha.
5. Inaibua wazo changa akilinoi mwetu kuwa nchi imeuzwa
6. Mtaji mkubwa kwa CHADEMA 2015 kuingia ikulu
 
Mbona hao wahindi wamekuwa wakali sana juu ya kutaka kununua hizo nyumba,wakati wengi wao uwezo wa kujenga nyumba wanao?
 
Anna Tbaigana ametoa go ahead nyumba ziuzwe, tamko la waziri ni tamko la serikali na tamko la serikali ni tamko la rais.
Rais wetu anajali zaidi maisha na hali nzuri ya wahindi kuliko maisha ya wazawa.
Mbona wahindiu hawaji kukaa kwetu Manzese kwa mfuga mbwa?
Wito wangu kwa serikali, iajiri FFU wengi zaidi maana imetangaza rasmi vita kati ya Wazawa na wahindi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom