Athari za Ndoa za utotoni

Binti 1

Member
Dec 1, 2018
28
64
Ndoa za utotoni hazimuathiri msichana anayeolewa pekee bali jamii nzima inaathirika na uwepo wa#NdoaZaUtotoni kwa namna moja ama nyingine. Kindly be informed and fight against #Child Marriage
 
Mariam mama wa Yesu alibeba ujauzito wa Yesu akiwa na miaka.12 na kumzaa Yesu akiwa na miaka 13.

Wanazuoni wa kiyahudi wanao pingana na hoja hii wanasema hapana haikuwa miaka 12 ila alipata ujauzito akiwa na miaka 14 na kujifungua akiwa na miaka 15.

Kwa hiyo wewe una ujua vizuri zaidi mwili wa mwanamle kumshinda Mungu?
 
Mkuu sie hapa ni wakubwa hio mada tushasoma mashuleni kitambo
 
Mariam mama wa Yesu alibeba ujauzito wa Yesu akiwa na miaka.12 na kumzaa Yesu akiwa na miaka 13.

Wanazuoni wa kiyahudi wanao pingana na hoja hii wanasema hapana haikuwa miaka 12 ila alipata ujauzito akiwa na miaka 14 na kujifungua akiwa na miaka 15.

Kwa hiyo wewe una ujua vizuri zaidi mwili wa mwanamle kumshinda Mungu?
Hapo ni Human rights vs Dini/Vitabu
 
Mariam mama wa Yesu alibeba ujauzito wa Yesu akiwa na miaka.12 na kumzaa Yesu akiwa na miaka 13.

Wanazuoni wa kiyahudi wanao pingana na hoja hii wanasema hapana haikuwa miaka 12 ila alipata ujauzito akiwa na miaka 14 na kujifungua akiwa na miaka 15.

Kwa hiyo wewe una ujua vizuri zaidi mwili wa mwanamle kumshinda Mungu?
Mariam alipata mimba kwa uwezo wa roho Mtakatifu
 
Bado hakuna uhakika kamili wa umri ambao Maria alipata ujauzito.Hata kalenda na jinsi ya kuhesabu siku,miezi na miaka haifanani na hii ya siku hizi.Kama tunaambiwa watu wengine waliishi miaka hadi mia tisa walihesabu kwa njia gani?
 
Back
Top Bottom