Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 8,202
- 14,122
Sikumbuki vizuri Mkuu lakini nadhani ni kampuni ya Swedish Denmark au Italians Nikumbushe Mkuu!Hio lami iliwekwa na JBG
Sikumbuki vizuri Mkuu lakini nadhani ni kampuni ya Swedish Denmark au Italians Nikumbushe Mkuu!Hio lami iliwekwa na JBG
Ni wajerumani na waliijenga yote Mombo Lushoto km 32Sikumbuki vizuri Mkuu lakini nadhani ni kampuni ya Swedish Denmark au Italians Nikumbushe Mkuu!
MgwashiKama naiona ile njia ya kule kwetu Bumbuli kutoka soni, na isivyo na lami sasa since enzi za mkoloni...ni kwa neema tu.
Likizo taendaParadise ya dunia
Hii barabara waliitengeneza wakati fulani toka Mombo mpaka Soni kuanzia Soni kwenda Lushoto ilikuwa nzuri kiasi chake. Lushoto kuzuri sana barabara tu ndio shida.