ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Ulichoongea ni point ya kugonga mkaka yani nimekuzimikia kwa somo hapo juu hasa kipengele hichi "Ndio hatukatai kuwa katika group la marafiki huwa kuna story za aina mbalimbali lakini si vema kuongea mambo ya ndani ya kwako na mwenza wako kwa rafiki kwasababu dunia ya sasa kumpata rafiki wa kweli ni vigumu sana tena sana. "