Wasalaam wanajf,
Nimeshawasikia wasichana wengi wakiwaponda wenzao ambao wana zaidi ya miaka 25 wakiwa bado bikira. Mfano juzi juzi tu niliwasikia wadada fulani wakimponda ndugu yao mwenye miaka 36 ambaye hajaolewa...walikuwa wakionyesha kumuonea huruma sana eti ni heri angekuwa ashatolewa bikira.
Swali langu ni je kuna limitation ya muda wa kuwa bikira? Kuna athari gani zinazompata mtu ambaye ni bikira hususani mtu mwenye miaka zaidi ya 35?
Mimi nilidhani kuwa ni heri mtu mwenye age hiyo akiwa bikira kuliko kuwa ashapata exposure ya mapenzi na akakosa mwenzi....nilidhani mtu mwenye exposure ya mapenzi atateseka zaidi ya yule ambaye bado bikira.
Wewe unaonaje?
Halafu uanweza kuta ishakuwa ngumu na haitoki tena kwa njia zilizoeleka35 old halafu bikra! huyo ana misuse hicho kiungo
mtu mwenye exposure ya mapenzi anatesekaje zaidi ya mwenye bikra? sijaelewa hapo. alafu kwani mtu akifika age hiyo hajaolewa maana yake ni bikra?
Anaweza kuteseka kwa kufeel kufanya mapenzi while hana mtu wa kufanya nae..."mwenye exposure ya mapenzi"
Chukulia mfano wa mtu ambaye hajaolewa but bado bikira....inawezekana mtu akawa hajaolewa but siyo bikira but for the purpose of this thread chukulia mwenye age hiyo ambaye bado ni bikira
mimi kAMA NI MWANAUME SIMWOI NAMWAMBIA AKAMALIZE MATATIZO YAKE KWANZA ATAKUWA AMEKAKAMAA SANAHuyu labda anaweza kupata maumivu makali.
Kama mfanyakazi nadhani itabidi achukue likizo kama ya wiki hivi...
Wasalaam wanajf,
Nimeshawasikia wasichana wengi wakiwaponda wenzao ambao wana zaidi ya miaka 25 wakiwa bado bikira. Mfano juzi juzi tu niliwasikia wadada fulani wakimponda ndugu yao mwenye miaka 36 ambaye hajaolewa...walikuwa wakionyesha kumuonea huruma sana eti ni heri angekuwa ashatolewa bikira.
Swali langu ni je kuna limitation ya muda wa kuwa bikira? Kuna athari gani zinazompata mtu ambaye ni bikira hususani mtu mwenye miaka zaidi ya 35?
Mimi nilidhani kuwa ni heri mtu mwenye age hiyo akiwa bikira kuliko kuwa ashapata exposure ya mapenzi na akakosa mwenzi....nilidhani mtu mwenye exposure ya mapenzi atateseka zaidi ya yule ambaye bado bikira.
Wewe unaonaje?
igweeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Msidanganyike hakuna tatizo lolote hata kama miaka 50 ukiwa bikira haina tatizo. Haya ni mawazo mabaya yanayopelekea wasichana kufanya maovu na kuharibikiwa zaidi.
mimi kAMA NI MWANAUME SIMWOI NAMWAMBIA AKAMALIZE MATATIZO YAKE KWANZA ATAKUWA AMEKAKAMAA SANA
Teh mkuu njia zilizozoeleka ni zipi mkuu... ha ha ha....Halafu uanweza kuta ishakuwa ngumu na haitoki tena kwa njia zilizoeleka