Duu nimekubali..inaonekana mi takuwa wa mwisho kulala leo
Hahaha huwezi amini wengine tunakula ugali wa mchana saivi
aisee sisi wengine haiwezekani kulala hata masaa 5 nishuguli sana sana nikijitahidi nalala masaa 3 tuu yanatosha kabisa na kichwa ishakuwa automatic coz haiwezekani kikubali nilale Masaa yote hayo coz lazima usingizi ukate tuu.
acheni jamani wengine tunamajanga sana nazani uchizi ni saizi yetu.
Kupoteza kumbukumbu
Kuishi tu Tanzania unakuwa umeshakuwa very close na death, malaria, typhoids, ajali, ukimwi, dengue yani ishu ya usingizi is very insignificant
Niliwahi kipanda bed saa mbili unusu, nimeamka saa tano dk 20 hivi, hii ndio imetoka hakuna kulala wala usingizi!
Tungoje tu hizi athari maana kwa life style yetu.........
Mkuu nipo pamoja na wewe kwa hii point... Kila kitu kinafanya kazi haswaaaa kwa zaidi ya 105%silali mapema na hayo matatizo yote sina
hivi kwanini hapo red hapakosagi wadau...kila impact inayotokea hapo kama kawa lazima pahusike!!! mbombo ngafu!!
Usingizi ni moja kati ya starehe kubwa duniani ila piA ni kinga dhidi ya magonjwa.imefahamika kuwa watu wengi duniani hawa lali kwa wakati kutokana na mihangaiko ya kimaisha kwa kawaida binadamu anatakuwa alale masaa 8-9.
hizi ndizo athari za kuto lala kwa wakati;
-shinikizo la moyo.
-ugonjwa wa kisukari.
-hasira za mara kwa mara.
-kuwa na uwezo mdogo wa kufikiria.
-upungufu wa nguvu za kiume.
JIULIZE WEWE UNA LALA MASAA MANGAPI?
Kwa hisani ya BBC swahili.
heheh...
aisee sisi wengine haiwezekani kulala hata masaa 5 nishuguli sana sana nikijitahidi nalala masaa 3 tuu yanatosha kabisa na kichwa ishakuwa automatic coz haiwezekani kikubali nilale Masaa yote hayo coz lazima usingizi ukate tuu.
acheni jamani wengine tunamajanga sana nazani uchizi ni saizi yetu.
Kabisa yani,kuna kipindi huwa naamka sa kumi alfajiri then mchana kutwa niko na hekaheka ikifika sa kumi na mbili jioni niko kwenye gari nasafiri usiku kucha to dar na nikifika dar sipat muda wa kupumzika wala nini full time ni harakati tuu...kama kweli hizi athari zipo acha na zije tu daah....
Unakutana na wanafunzi wa form six wao wanalala masaa mawili tu kwa siku
Hasa wale wa PCB,halafu wana mwalimu kilaza.