vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
Nje ya boxMkuu na wewe imekuathiri?
Mimi natazama jambo hilo kwa nyuzi nyingine mimi ni baba wa watoto Kadhaa hiviUkibaka na kulawiti miaka 30 jela
Ukiwa shoga utachomwa moto
Ukikamatwa unafanya hadharani uwazi wanakuaibisha
Kuondokana na yote hayo oa
Kauli ipi mkuuu.Kweli naamini kauli ya Lowasa...
Aiseee kweliKumekuwepo na nguvu kubwa kuwafulusha machangudoa ktk maeneo yao sasa tujiandae kukumbana na madhira yafuatayo
1.Vitendo vya ngono vitafanyika hovyo hovyo kila mahali ktk mikusanyiko,mfano misiban,harusini,kwenye mwenge na ktk mikusanyiko ya aina yoyote
2.Vitendo na kesi za ubakaji na ulawiti zitaongezeka maana machangudoa walikuwa wakisaidia sana ktk eneo hilo
3.Kuna wanaume tutawapoteza kabisa ktk ufalme wa kiume maana Angalau uwepo wa wanawake ulikuwa ni kificho na mahali sahii kujipoza sasa watapozwa
4.Nyumba ambazo hazijaisha maarufu kama mapagala yanakwenda kuwa sio maeneo salama kwa watoto wetu
5.Kipato na biashara za wajasiliamar kadha wa kadha kama wapika. Vyakula,boda boda,hata wauzaji wa huduma zingine watapoteza kipato
6.Tutarajie kuongezeka kwa migogoro ya kifamilia kwa wanandoa kwakua machangudoa walikuwa kama kipozeo cha Magogoro hiyo
7.Ongezeko LA maambukizi ya ukimwi nalo linatuhusu
Wanatakiwa wakaanzishe madanguro Dodoma, wanashindwa tu kuwaambia.Kumekuwepo na nguvu kubwa kuwafulusha machangudoa ktk maeneo yao sasa tujiandae kukumbana na madhira yafuatayo
1.Vitendo vya ngono vitafanyika hovyo hovyo kila mahali ktk mikusanyiko,mfano misiban,harusini,kwenye mwenge na ktk mikusanyiko ya aina yoyote
2.Vitendo na kesi za ubakaji na ulawiti zitaongezeka maana machangudoa walikuwa wakisaidia sana ktk eneo hilo
3.Kuna wanaume tutawapoteza kabisa ktk ufalme wa kiume maana Angalau uwepo wa wanawake ulikuwa ni kificho na mahali sahii kujipoza sasa watapozwa
4.Nyumba ambazo hazijaisha maarufu kama mapagala yanakwenda kuwa sio maeneo salama kwa watoto wetu
5.Kipato na biashara za wajasiliamar kadha wa kadha kama wapika. Vyakula,boda boda,hata wauzaji wa huduma zingine watapoteza kipato
6.Tutarajie kuongezeka kwa migogoro ya kifamilia kwa wanandoa kwakua machangudoa walikuwa kama kipozeo cha Magogoro hiyo
7.Ongezeko LA maambukizi ya ukimwi nalo linatuhusu
Kwani mke kazi yake ni kuziba nafasi ya changudoa?Ukibaka na kulawiti miaka 30 jela
Ukiwa shoga utachomwa moto
Ukikamatwa unafanya hadharani uwazi wanakuaibisha
Kuondokana na yote hayo oa
Jamii.pana si kila yanayo andikwa yanawahusu walioyaandiksKama mtoa thread ni baba wa familia, familia hiyo ni hatari namuonea huruma mwanamke mwenzangu kwa kupata mume
So wewe unaona machangudoa wanafaida? If your answer is yes then uko tayari either mama yako au dada yako au shangazi yako au binti yako akajiuze.Kumekuwepo na nguvu kubwa kuwafulusha machangudoa ktk maeneo yao sasa tujiandae kukumbana na madhira yafuatayo
1.Vitendo vya ngono vitafanyika hovyo hovyo kila mahali ktk mikusanyiko,mfano misiban,harusini,kwenye mwenge na ktk mikusanyiko ya aina yoyote
2.Vitendo na kesi za ubakaji na ulawiti zitaongezeka maana machangudoa walikuwa wakisaidia sana ktk eneo hilo
3.Kuna wanaume tutawapoteza kabisa ktk ufalme wa kiume maana Angalau uwepo wa wanawake ulikuwa ni kificho na mahali sahii kujipoza sasa watapozwa
4.Nyumba ambazo hazijaisha maarufu kama mapagala yanakwenda kuwa sio maeneo salama kwa watoto wetu
5.Kipato na biashara za wajasiliamar kadha wa kadha kama wapika. Vyakula,boda boda,hata wauzaji wa huduma zingine watapoteza kipato
6.Tutarajie kuongezeka kwa migogoro ya kifamilia kwa wanandoa kwakua machangudoa walikuwa kama kipozeo cha Magogoro hiyo
7.Ongezeko LA maambukizi ya ukimwi nalo linatuhusu
We unadhani uchangudoa ni accidental phenomenon?So wewe unaona machangudoa wanafaida? If your answer is yes then uko tayari either mama yako au dada yako au shangazi yako au binti yako akajiuze.