Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,044
- 12,526
Penda unapopendwa, usipopendwa stress zinatosha.Ni ukweli kuwa wanaume tulio wengi tumekuwa ving'ang'anizi kwenye suala la mapenzi. Kwa kulazimisha huko kumepelekea baadhi ya wanaume kuingia kwenye mlango wa kifo, kukata tamaa, kujishusha thamani n.k.
Kulazimisha penzi kumekuwa na athari kubwa za moja kwa moja kuliko faida tulizozitarajia hapo awali.Mwanamke ni kiumbe dhaifu pale tu unapomtongoz na kukukatalia zaidi ya mara 4 na ya 5 akakukubalia lazima utambue huo uamuzi wake ni wa kujilazimisha na si wa hiari yake.
Wote tunajua mwanamke mwerevu hawezi kumkubali mwanaume kirahisi, ila kuna kule kuona wazi anasisitiza kitu kuwa hakutaki na pia hakupendi.Mwanamke wa kulazimisha badala ya kukuita honey, baby, mpenzi yeye atakomaa na jina lako halisi na ukihoji atakwambia si lazima "nikuite bby" kwani we mtoto.
Kwa misingi hiyo mwanaume unategemea nini hapo zaidi ya kuingia kwenye ulingo wa penzi la mateso.Huyo mwanamke naye jua akipata ampendaye hatokwambia ila ukweli ukiujua utakuwa ndiyo mwisho wa penzi lako na kuanza kuishi maisha ya kuteswa na mapenzi na wivu usio na mipaka.
Kama ni mwanafunzi haijalishi ulikuwa kichwa hapo kuanguka kitaaluma ni muhimu.kama ni mwajiriwa basi ajira yako itakuwa shakani kwa kuwaza mateso ya penzi kuliko kazi mwisho nikuachishwa kazi.Kama ndo Mfanyabiashara huo ndo wakati wa kujuta kwani mapenzi ya pesa yanatumia hadi mtaji kwani utakapokumbuka muda utakuwa umepita na huna namna tena.
Mwisho wa mapenzi ya kulazimisha ni :-
#Kujinyonga . (hehe)
#Kuua bila ridhaa yako.
#Kuwa kichaa wa penzi la mateso (gogo)
#kufilisika kimtaji na kimawazo
kujipiga risasa (Chagga
Onyo mapenzi ni ushawishi na si kulazimishana.