Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,043
- 12,527
- Thread starter
- #21
Hilo ndilo jibu ni utoto kwenda ujana
sisi tumeshaoa tuna majukumu ya kulea watoto mtaapofika hapo mtaona watoto wanawaunganisha na hakuna mateso hayo
kwani stress za watoto tu zatosha
vyote hivyo vinakusubiri huwezi anzisha mapenzi ya kutesana hadi kujipiga risasi km hao wachagga ambao wanaacha kutafuta hela mapenza yatakuja tu
- ada ya chekechea
- malipo ya matibabu
- chakula tofauti cha watoto
- mavazi
- Klinik, uumini wa DINI, malezi kibao
Kumbuka huwezi jua kama angekuja kukutesa ...
Wengi sana wameanza safari ya mapenzi pamoja, ila mwisho wa siku wameishia katikati ya bahari..