Athari za kuiga mambo zazidi afrika!

Athari za kuiga mambo zazidi afrika!

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956


ATHARI ZA KUIGA MAMBO ZAZIDI AFRIKA!

Vijana wengi wa Kiafrika wamekuwa wakiiga utamaduni wa kimagharibi pasipo kujua maana

yake.Pichani ni

Kijana aliyeko katika nchi ya Kiafrika akiingia supermarkert kama kamera inavyoonyesha.


Unamaoni gani kuhusu na mtindo huu wa mavazi?
 
Inaonesha jinsi baadhi ya watu walivyo na akili ndogo. Ipo siku mzungu akivaa nepi na akapita mtaani wapo watakaoiga pia, THIS IS INSANE
 


ATHARI ZA KUIGA MAMBO ZAZIDI AFRIKA!

Vijana wengi wa Kiafrika wamekuwa wakiiga utamaduni wa kimagharibi pasipo kujua maana

yake.Pichani ni

Kijana aliyeko katika nchi ya Kiafrika akiingia supermarkert kama kamera inavyoonyesha.


Unamaoni gani kuhusu na mtindo huu wa mavazi?


Huu ni ujinga, na vijana wengi haswa hawa wa bongo fleva hupenda mambo ya kijinga kama haya kwa kudhania kuiga wamarekani weusi ndiyo umefika wakati si hivyo. Kule Marekani mtu mweusi hathaminiwi kihivyo na anadharaulika ile mbaya ila bahati mbaya vijana wetu huku nyumbani wanaona ujiko kuiga ujinga wao bila hata kujua nini faida yake.
 
Back
Top Bottom