Leslie Mbena
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 207
- 678
ATHARI ZA CHANJO YA MZUNGU KWA WAAFRIKA.
Rejea mkutano wa Cairo,Misri 1973,ulifanyika mkutano mkubwa uliohusu upunguzaji wa idadi ya watu duniani, Marekani iliwakilishwa na Waziri wake wa mambo ya nje,mtu aliyeaminika kuwa gwiji wa diplomasia Bw Henry Kissinger,akitoa nasaha Bwana Kissinger alinukuliwa akisema endapo nchi za Afrika zitagomea sera ya upunguzaji wa idadi ya watu,basi wanasayansi wa Marekani watafute ama waangalie uwezekano wa sera hiyo kutekelezwa kisayansi,huo ndio ulikuwa mwanzo wa Ukimwi.
1. Niliwahi kumuuliza mzungu mmoja kwa nini Ukimwi hausumbui wazungu licha ya uzinzi mkubwa walio nao, aliniambia "mdudu wa HIV alibuniwa kushambulia Gene ya mtu mweusi" Nikamkumbuka Kissinger kwenye mkutano wa Cairo,nikajisemea "Africa has been Kissingered".
2. Wasichana kufikisha Miaka 16 bila kuota matiti vifuani hadi wadungwe sindani.
3. Watoto wa kiume kuwa na matako makubwa hadi kushindwa kukimbia.
4. Wavulana kuota matiti kifuani.
5. Msichana kuwa na ndevu na akifikia utu uzima nywele kunyonyoka na kubaki na kipara,
Hayo ndio matokeo ya lishe za kileo na chanjo zenye kemikali,Tuchukue tahadhari chanjo za Wazungu,daima kumbuka Kissinger alisema wanasayansi wa Marekani wapunguze watu kisayansi,Cairo,1973 kwenye mkutano wa upunguzaji wa watu duniani.