Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,668
- 167,612
Duh, hiki ni kichaa? money can never buy true love, I'm a woman I know, ndio maana kuna vigogo wake zao hawaishi kudate nje, ni kwasababu hawakupenda kwa dhati bali walifuata hela, women are so loyal when they love truely, money can only buy you women you can use and give money in return
hajiamini huyu, labda atapendwa na gfsonwin kwa style hii
@giLESI, do you think gfsonwin is very cheap the way you think?..Silver and Gold belongs to The Lord and gfsonwin belong to the same Lord.
My take: gfsonwin can ask her father (God) for both Silver and Gold rather than being attracted by someone else shirt which will peril her life in a mere both "celestial and terrestial indian" night vigil.
Anatafutwa kuchunwa
Kweli warembo wanasakwa kwa udi na uvumba
huyu hata kama ni kumchuna utammaliza lini? Too thick skin, kha!
Hahaha...kwani nyie ni "warembo"???
am in
mie kwangu miguuni, wewe kiwiliwili lara 1 kubwa la maadui atachuna kichwa.
Na huo mwanya wa pembeni mie roho kwatuu