Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,660
- 55,289
Ndio maana vibaka wanachomwa moto, nampa pole Mangi mwenzangu.
Ombenikibalijamani kunajukwaa lamaneno hayo mkarushiane mpaka asbh
Ukipata stori nyingine usisite kutuletea.
Tukio lilitokea usiku wa manane, aliporwa mwembechai
We kejeli wenzio tu ,tunasubiri taarifa ya siku na wewe utakapo kabwa na kubakwa kwa "taabu" mbele ya watoto wako!Yaani hapo Mkuu hata Mimi huwa nashindwa kuwaelewa hawa jamaa! Mtu unakaa ndani ya jiji miaka zaidi ya 10 bado unaibiwa kitoto?? Kukaa kwenu mjini hakujawasaidia bora Mangi arudi Uru Kishumundu!
Krismasi ni msimu wa wizi, ujambazi na uporaji na utakuta waliomfanyia hivyo ni akina Mangi wenzake.