Atembea uchi kutoka Magomeni Mwembechai hadi Manzese

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,837
Kwa jina anaitwa Mangi, anamiliki jiko kwenye bar ya hapa kitaani kwetu. Usiku wa kuamkia jana alikumbwa na janga la kufungia mwaka 2014.

Ilikuwa hivi, jamaa alifunga ofisi (Jiko) lake mida ya saa tano usiku na kuelekea kwake maeneo ya Manzese Friends Corner. Saa kumi kasoro usiku jamaa alidamka kwa ajili ya kwenda kuchukua malighafi za jikoni maeneo ya Vingunguti Kiembe Mbuzi. Mfukoni alikuwa na sh. laki tano na elfu themanini za mauzo ya siku tatu. pamoja na simu yenye shilingi laki nane na elfu themanini tigopesa ambayo ni mauzo ya wiki moja na ushee.

So baada ya kudamka, jamaa akakaa kituoni pale Friends Corner akisubiri Bajaj impeleke Vingunguti. Baada ya kama dakika kumi hivi za kusubiri ikatokea bajaj. Ndani ya bajaj kulikuwa na abiria wawili pamoja na dereva jumla kulikuwa na watu watatu. ( Little to his knowledge, kumbe abiria pamoja na dereva wote walikuwa vibaka)

Mangi akaingia ndani ya bajaj na bajaj ikaanza kuondoka, baada ya kufika maeneo ya Magomeni mwembechai, mmoja kati ya wale abiria alimpia Mangi banzi kali sana la usoni, akiwa katika hali ya kutahamaki akapigwa banzi jingine la kichwani, then jamaa wakamtoa nje na kuanza kumsachi.

Wakiwa wanamsachi, yule dereva akapaza sauti yake akisema "Nyie vipo mnafanya use**** gani hapo? Mbona mnamchelewesha huyo Mse****?)

Basi unaambiwa, tangu dereva atoe tamko hilo, hazikupita dakika tatu, mangi akawa ameporwa kila kitu kuanzia hela, simu pamoja na nguo zote hadi nguo za ndani pamoja na kujeruhiwa kwa panga kwenye eneo la dole gumba.

Baada ya kufanya uporaji huo, jamaa walitokomea na bajaj yao kwa kasi ya ajabu sana wakimuacha Mangi asijue la kufanya.

Mangi hakuwa na jinsi zaidi ya kurejea nyumbani kwake, akiwa kaficha nyeti zake. Anasema njiani alikuwa anakutana na watu ila walikuwa hata hawadili nae kwa sababu walikuwa wanahisi labda ni kichaa.

So jamaa akawa ametembea uchi kutoka Mwembe Chai hadi Friends Corner.

Kimbembe kilikuwa aliporudi nyumbani kwa sababu, funguo za chumbani kwake zilikuwa kwenye nguo zilizoporwa na vibaka.

Anashukuru Mungu alipofika nyumbani alikuta majirani bado hawajaamka na bahati nzuri mlango wa chumbani kwake ni sio imara sana so aliweza kuuvunja ndani ya muda mfupi sana.

Tukio hili limetuathiri sana wanywaji wa vileo kitaani kwetu, kwani limemfanya Mangi ashindwe kuja kazini kwa sababu anashughulikia usajili wa line yake pamoja na kublock line yake ya Tigopesa yenye hela.
 
Lazima ukiwa na hela nyakati za usiku usikubali kupanda tax yenye watu wengi au bajaji hii sio ishu ya kwanza wengi ni majambazi.

Yaani hapo Mkuu hata Mimi huwa nashindwa kuwaelewa hawa jamaa! Mtu unakaa ndani ya jiji miaka zaidi ya 10 bado unaibiwa kitoto?? Kukaa kwenu mjini hakujawasaidia bora Mangi arudi Uru Kishumundu!
 
Sikukuu hizi wizi umezidi mno. Jana asubuhi nimeshuhudia mdada akinyang'anywa mkoba wake.
 
Weza kuta Huyu jamaa ni hawa wana jf wanaoapa apa huku ndani na litania ya visingizio kama vile;
sijui escrow nitavua nguo zote mara sijui maximo akifanya hivi nitatembea uchi mara chadema wakishindwa nitatembea uchi, yawezekana ndio hao
 
Sikukuu hizi wizi umezidi mno. Jana asubuhi nimeshuhudia mdada akinyang'anywa mkoba wake.
sasa na wewe pumbavu, umeshuhudia na hukufanya msaada wowote alafu unatulea hapa,nyooooo si afadhali ungenyamaza. mimi iliwahi nikuta, kibaka alifanya makosa akakwapua pochi ya mwanamke mbele yangu, mida ya saa mbili usiku, kilichotokea ni either yule mwizi sasa ni marehemu au ni kilema polisi walikuja kumchukua akiwa hana fahamu kwa kitendo cha dakika kumi tu.
 
Wewe m.k.u.n.d.u TECHMAN nyamaza. unawashwa? weka pilipili kwanza ndio ukurupuke. Unajua mazingira niliyokuwepo?
Siku nyingine uliza kwanza kabla ya kuandika ma.vi yako na kijifanya unajua matusi.
 
Last edited by a moderator:
Yaani hata nikiiuliza nisiriyake kwa kweliii,,,huko njiani alisalimika hill lamaana zaidi
 
Kwa jina anaitwa Mangi, anamiliki jiko kwenye bar ya hapa kitaani kwetu. Usiku wa kuamkia jana alikumbwa na janga la kufungia mwaka 2014.

Ilikuwa hivi, jamaa alifunga ofisi (Jiko) lake mida ya saa tano usiku na kuelekea kwake maeneo ya Manzese Friends Corner. Saa kumi kasoro usiku jamaa alidamka kwa ajili ya kwenda kuchukua malighafi za jikoni maeneo ya Vingunguti Kiembe Mbuzi. Mfukoni alikuwa na sh. laki tano na elfu themanini za mauzo ya siku tatu. pamoja na simu yenye shilingi laki nane na elfu themanini tigopesa ambayo ni mauzo ya wiki moja na ushee.

So baada ya kudamka, jamaa akakaa kituoni pale Friends Corner akisubiri Bajaj impeleke Vingunguti. Baada ya kama dakika kumi hivi za kusubiri ikatokea bajaj. Ndani ya bajaj kulikuwa na abiria wawili pamoja na dereva jumla kulikuwa na watu watatu. ( Little to his knowledge, kumbe abiria pamoja na dereva wote walikuwa vibaka)

Mangi akaingia ndani ya bajaj na bajaj ikaanza kuondoka, baada ya kufika maeneo ya Magomeni mwembechai, mmoja kati ya wale abiria alimpia Mangi banzi kali sana la usoni, akiwa katika hali ya kutahamaki akapigwa banzi jingine la kichwani, then jamaa wakamtoa nje na kuanza kumsachi.

Wakiwa wanamsachi, yule dereva akapaza sauti yake akisema "Nyie vipo mnafanya use**** gani hapo? Mbona mnamchelewesha huyo Mse****?)

Basi unaambiwa, tangu dereva atoe tamko hilo, hazikupita dakika tatu, mangi akawa ameporwa kila kitu kuanzia hela, simu pamoja na nguo zote hadi nguo za ndani pamoja na kujeruhiwa kwa panga kwenye eneo la dole gumba.

Baada ya kufanya uporaji huo, jamaa walitokomea na bajaj yao kwa kasi ya ajabu sana wakimuacha Mangi asijue la kufanya.

Mangi hakuwa na jinsi zaidi ya kurejea nyumbani kwake, akiwa kaficha nyeti zake. Anasema njiani alikuwa anakutana na watu ila walikuwa hata hawadili nae kwa sababu walikuwa wanahisi labda ni kichaa.

So jamaa akawa ametembea uchi kutoka Mwembe Chai hadi Friends Corner.

Kimbembe kilikuwa aliporudi nyumbani kwa sababu, funguo za chumbani kwake zilikuwa kwenye nguo zilizoporwa na vibaka.

Anashukuru Mungu alipofika nyumbani alikuta majirani bado hawajaamka na bahati nzuri mlango wa chumbani kwake ni sio imara sana so aliweza kuuvunja ndani ya muda mfupi sana.

Tukio hili limetuathiri sana wanywaji wa vileo kitaani kwetu, kwani limemfanya Mangi ashindwe kuja kazini kwa sababu anashughulikia usajili wa line yake pamoja na kublock line yake ya Tigopesa yenye hela.
Mbayanwaliomliza no wachaga wenzake...ukipanda bajaji salimia kichaga kwanza nyura akijibu nauro omba umesahau funguo za nyumba ukishuka kimbiq harakasana ulipotokea
 
inasikitisha sana maana bajaji ni moja ya usafiri unaotegemewa sana jijini dar es salaam
 
Wewe m.k.u.n.d.u TECHMAN nyamaza. unawashwa? weka pilipili kwanza ndio ukurupuke. Unajua mazingira niliyokuwepo?
Siku nyingine uliza kwanza kabla ya kuandika ma.vi yako na kijifanya unajua matusi.
Ombenikibalijamani kunajukwaa lamaneno hayo mkarushiane mpaka asbh
 
Back
Top Bottom