Nchi hii ilivyojaa Mipango na Mikakati.
Siamini mpaka nizione hizo Ndege zimekuja.
na itawatesa sana mwaka huu chadema!Sparkling hope from the CCM government. Congratulations hon.Nundu.
However, I stand to be corrected by the CHADEMA supporters.
Nchi hii ilivyojaa Mipango na Mikakati.
Siamini mpaka nizione hizo Ndege zimekuja.
Sparkling hope from the CCM government. Congratulations hon.Nundu.
However, I stand to be corrected by the CHADEMA supporters.[/QUOTE
hii ni matokeo ya ziara ya Hillary Clinton, na sio wana ofikiria kwa Masaburi yao! na ndio maana unaona pia crisis ya umeme ina shughulikiwa na symbion nk nk
hivi ndege zinaweza kutengenezwa kwa muda wa miezi mitatu tu? au wanakodisha mikweche?. Kenyaairways wanaweka order kutengenezewa ndege na zinachukua si chini ya miaka 2-3 au sisi tunakuja na vodafasta inayoweza kugharimu maisha ya wasafiri (kumbuka incidence ya mwanza watu walivyoponea chupuchupu).
Hili shirika sitakuja kulisahau, kuna siku nilikuwa nakwenda Mwanza nilikuwa na tiketi na nilikonfemu kwamba nasafiri na (nilifika uwanjani kwa wakati lisaa limoja kabla ndege haijaondoka), lakini siku hiyo Kikwete alikuwa anazindua kitu fulani mwanza kwa hiyo viongozi kibao walikuwa wanaelekea huko, huwezi amini niliambiwa ndege imejaa niondoke kesho yake(tetesi zinadai kuna mawaziri kama watatu walitwanga simu kwamba ni lazima waondoke japo walikuwa bado hawajakata tiketi) nilipowawashia moto sana wakanipeleka kwenye weitingi listi ya presisheni ea kwa bahati nzuri nilipata nafasi, tokea ile siku sijarudia tena japo bei zao zilikuwa nzuri kidogo hata sitaki kujua wanafanya nini kwasasa. (Hiyo siku tulikuwa na jamaa mmoja anaitwa kingwangwala alilaani saana kwa yaliyotukuta, nasubiri nimsikie siku akilizungumzia hili maana kwasasa ameingia mjengoni)