ATCL yaagiza ndege 6 mpya marekani 4 kuja kabla ya December

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Habari zilizorufikia na zenye uhakika zinasema serikali imeagiza ndege 6 kutoka shirika la boeing
ambalo wakati wa balozi mmoja wa marekani walikja wakaongozana mpaka ikulu kwa rais
na kuelezea mikakati ya boeing iwapo watakubali kuingia nao mkataba lakini kwa kuwa boeing
awakukubali kutoa 10 percent kwa wizara hata kidogo ndipo ule uchafu wa AIRBUS ukaletwa ambao
muda si mrefu utalifikisha shirika la AIRTANZANIA kwenye matatizo ya malipo kama dowans

wakiongea kwa uwazi mmoja wa viongozi wa wizara amesema ni kweli wameagiza na hili linatarajiwa
kuletwa 4 kabla ya december na nyingine 2 kabla ya march mwakani..hata hivyo hii itategemea
na mkataba ambao kampuni ya boeing iko kwenye mazungumzo na serikali huku baadhi
ya wawakilishi wa iwzara wako marekani kwa ajili ya kumaliza mkataba huo na kusubiri ndege

Kwa niaba ya watanzania kama kweli mh nundu basi tunakupongeza lakini nisingependa shirika kubwa
kama hili kuongozwa na NDEGE 4 chini ya ACTING CEO..nilitamani kama mnaamua mteueni mteule mojakwamoja
badala ya kumuita acting na hii italeta heshima maana sasa kila cheo kitakuwa acting na hata shirika
llikileta matatizo kumbukeni amuwezi kumhoji maana ni act na amjamhizinisha hope kama mko serious
na management mpya nayo mtateua hivi karibuni

HAPPY NEW ATCL
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Sparkling hope from the CCM government. Congratulations hon.Nundu.

However, I stand to be corrected by the CHADEMA supporters.
 
Sparkling hope from the CCM government. Congratulations hon.Nundu.

However, I stand to be corrected by the CHADEMA supporters.
na itawatesa sana mwaka huu chadema!
kwa maneno mengi ya serikali hii mpaka nizione hizo ndege!
 
Hili shirika sitakuja kulisahau, kuna siku nilikuwa nakwenda Mwanza nilikuwa na tiketi na nilikonfemu kwamba nasafiri na (nilifika uwanjani kwa wakati lisaa limoja kabla ndege haijaondoka), lakini siku hiyo Kikwete alikuwa anazindua kitu fulani mwanza kwa hiyo viongozi kibao walikuwa wanaelekea huko, huwezi amini niliambiwa ndege imejaa niondoke kesho yake(tetesi zinadai kuna mawaziri kama watatu walitwanga simu kwamba ni lazima waondoke japo walikuwa bado hawajakata tiketi) nilipowawashia moto sana wakanipeleka kwenye weitingi listi ya presisheni ea kwa bahati nzuri nilipata nafasi, tokea ile siku sijarudia tena japo bei zao zilikuwa nzuri kidogo hata sitaki kujua wanafanya nini kwasasa. (Hiyo siku tulikuwa na jamaa mmoja anaitwa kingwangwala alilaani saana kwa yaliyotukuta, nasubiri nimsikie siku akilizungumzia hili maana kwasasa ameingia mjengoni)
 
hap ni mpaka zije isijekuwa ni makaratasi tu ndio yameandikwa ili vasco da gama apate gia ya kuondoka hapa nyumbani kwetu.
 
BTW hivi kuna hata ndege moja ya ATCL iko in operation as we speak?
 
hivi ndege zinaweza kutengenezwa kwa muda wa miezi mitatu tu? au wanakodisha mikweche?. Kenyaairways wanaweka order kutengenezewa ndege na zinachukua si chini ya miaka 2-3 au sisi tunakuja na vodafasta inayoweza kugharimu maisha ya wasafiri (kumbuka incidence ya mwanza watu walivyoponea chupuchupu).
 
Sparkling hope from the CCM government. Congratulations hon.Nundu.

However, I stand to be corrected by the CHADEMA supporters.[/QUOTE
hii ni matokeo ya ziara ya Hillary Clinton, na sio wana ofikiria kwa Masaburi yao! na ndio maana unaona pia crisis ya umeme ina shughulikiwa na symbion nk nk
 
mipango mingi isiyo na utekelezaji maana kila kitu wanadai itakuwa dec... haya yatupasa tuwe akina thomaso wa maandiko
 
hivi ndege zinaweza kutengenezwa kwa muda wa miezi mitatu tu? au wanakodisha mikweche?. Kenyaairways wanaweka order kutengenezewa ndege na zinachukua si chini ya miaka 2-3 au sisi tunakuja na vodafasta inayoweza kugharimu maisha ya wasafiri (kumbuka incidence ya mwanza watu walivyoponea chupuchupu).

kweli mkuu nakuunga mkono, hata mimi nimeshangaa ndege ina agizwa kama nguo na watu wanakubali bila kuuliza maswali,
anafikiri zinatengenezwa zinawekwa hapo halafu unaenda kuchagua?
inashangaza sana angesema order ilitolewa siku nyingi na zimekaribia kukamilika hapo ningewaelewa,kwa sababu hiyo basi huo ni uongo labda atoe uongo mwingine hapo amekosea njia,angefanya uchunguzi kwanza kabla ya kuja kudanganya watu hapa
 
ile walinunua toka canada ikasifiwa kwa mbwembwe nyingi imekwenda wapi? Mie siamini mpaka ikae miaka 3
 
Hizo ndege wanazonunua zina specifications zipi? Je watakuwa wana-route zipi? Sio walete ndege halafu wanakuwa na safari za kwenda around the region tu tunataka Air Tanzania kuitangaza nchi worldwide. Lakini pengine wanatuzingua tu hawa mafisadi. Kama wataiga mfano wa Emirates itakuwa poa.
 
Hili shirika sitakuja kulisahau, kuna siku nilikuwa nakwenda Mwanza nilikuwa na tiketi na nilikonfemu kwamba nasafiri na (nilifika uwanjani kwa wakati lisaa limoja kabla ndege haijaondoka), lakini siku hiyo Kikwete alikuwa anazindua kitu fulani mwanza kwa hiyo viongozi kibao walikuwa wanaelekea huko, huwezi amini niliambiwa ndege imejaa niondoke kesho yake(tetesi zinadai kuna mawaziri kama watatu walitwanga simu kwamba ni lazima waondoke japo walikuwa bado hawajakata tiketi) nilipowawashia moto sana wakanipeleka kwenye weitingi listi ya presisheni ea kwa bahati nzuri nilipata nafasi, tokea ile siku sijarudia tena japo bei zao zilikuwa nzuri kidogo hata sitaki kujua wanafanya nini kwasasa. (Hiyo siku tulikuwa na jamaa mmoja anaitwa kingwangwala alilaani saana kwa yaliyotukuta, nasubiri nimsikie siku akilizungumzia hili maana kwasasa ameingia mjengoni)

Tena hao mawaziri kwa taarifa yako husafiri kwa mkopo na ndo hao waliolifikisha ATCL mortuary.
 
hivi ndege zinaweza kutengenezwa kwa muda wa miezi mitatu tu? au wanakodisha mikweche?. Kenyaairways wanaweka order kutengenezewa ndege na zinachukua si chini ya miaka 2-3 au sisi tunakuja na vodafasta inayoweza kugharimu maisha ya wasafiri (kumbuka incidence ya mwanza watu walivyoponea chupuchupu).

Kanyagio nimeipenda hiyo TREKTA mkuu je zinapatikana kwa shilingi ngapi kwani na mimi nataka kupata moja kwa shughuli zangu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom