ATCL yaagiza ndege 6 mpya marekani 4 kuja kabla ya December

inawezekana! lakini nawaomba waturudishie nembo yetu ya Zamani kuliko hii iliyopo sasa!
 
ccm wanatafuta cha kusema, tutawasikiliza mbwembwe zao, ndege chakavu in exchange with uranium. nani anaikumbuka sera maarufu marekani ya mambo ya nje kuhusu adui na rafiki, mkitaka kuwa werevu uchukieni ujinga!! ccm inaliingiza taifa kwenye tatizo kubwa mno!!!!! mwenye masikio na asikie.
 
hivi ndege zinaweza kutengenezwa kwa muda wa miezi mitatu tu? au wanakodisha mikweche?. Kenyaairways wanaweka order kutengenezewa ndege na zinachukua si chini ya miaka 2-3 au sisi tunakuja na vodafasta inayoweza kugharimu maisha ya wasafiri (kumbuka incidence ya mwanza watu walivyoponea chupuchupu).

Kenya Airways wameagiza Boeing Dreamliner 787!! Sisi bado tunasumbuka na fokker!!
 
heko kabisa msisahau kujipanga kuna route ya khartoum, KIA-Dar es salaam tunakosa watalii wengi sana kutoka wafanyakazi wa mission walioko sudan wanaishia kenya na KQ yao.
Habari zilizorufikia na zenye uhakika zinasema serikali imeagiza ndege 6 kutoka shirika la boeing
ambalo wakati wa balozi mmoja wa marekani walikja wakaongozana mpaka ikulu kwa rais
na kuelezea mikakati ya boeing iwapo watakubali kuingia nao mkataba lakini kwa kuwa boeing
awakukubali kutoa 10 percent kwa wizara hata kidogo ndipo ule uchafu wa AIRBUS ukaletwa ambao
muda si mrefu utalifikisha shirika la AIRTANZANIA kwenye matatizo ya malipo kama dowans

wakiongea kwa uwazi mmoja wa viongozi wa wizara amesema ni kweli wameagiza na hili linatarajiwa
kuletwa 4 kabla ya december na nyingine 2 kabla ya march mwakani..hata hivyo hii itategemea
na mkataba ambao kampuni ya boeing iko kwenye mazungumzo na serikali huku baadhi
ya wawakilishi wa iwzara wako marekani kwa ajili ya kumaliza mkataba huo na kusubiri ndege

Kwa niaba ya watanzania kama kweli mh nundu basi tunakupongeza lakini nisingependa shirika kubwa
kama hili kuongozwa na NDEGE 4 chini ya ACTING CEO..nilitamani kama mnaamua mteueni mteule mojakwamoja
badala ya kumuita acting na hii italeta heshima maana sasa kila cheo kitakuwa acting na hata shirika
llikileta matatizo kumbukeni amuwezi kumhoji maana ni act na amjamhizinisha hope kama mko serious
na management mpya nayo mtateua hivi karibuni

HAPPY NEW ATCL
 
Back
Top Bottom