Chizi was acting thus all. Sasa tatizo liko wapi? Uteuzi wake haukufuata sheria. Wadau tunapwaswa tuangalie sheria iliyokiukwa lakini mengine zaidi ya hayo ni majungu. Maswala ya bank accounts yanatoka wapi? Na vitu ulivyoandika hapo ni majungu matupu. Hizo nauli unazotaja ni promotional fares and as times goes when ATCL has penetrated tu he market they will pick up. Halafu unapoandika jaribu kuwa objective. Unapolinganisha nauli za operators wengine utoe na vigezo vilivyotumika kupanga nauli hizo. Hakuna mtu anakurupuka na kupanga nauli toka usingizini. Na hiyo lease cost unachosema sio kweli maana configuration ya ndege inatofautiana na hicho ndicho kinachoelekeza costs. Unatoka kusema configuration ya ndege ya ATCL ni sawa na PW au unajifnya advocate wa mtu. Kabla hujaleta uzi kama huu ulipashwa uje na facts toka kwa yule aliyekuwapa hiyo information. Sasa wewe umeleta fabrications. Na unaposema kuwa ana MBA in Aviation that's a general vague input. In aviation industry there are many sectors like Avioonics, Planning, services, maintenance, operations, network planning na mengineyo. Sasa unataka kusema MBA ya Chizi iko concentrated to cover all areas hence worthy being unique. What a lie