ATCL: Dom-Kigoma-Dar?

Ungewasha BIGHORN YAKO
 
Kwanini abiria wa Dodoma wasisubiri ikitoka kigoma ndio wapande kuja Dar?? ATCL wamezingatia nini haswa??
Route ya dodoma ingeungwa na TABORA angalau ingepunguza muda wa safari.
Hiyo Kigoma wa unga ni she na ile ya Bujumbura.
 
Mimi ningewashauri serikali isichukue kodi kwenye mafuta ya ndege ili bei za ndege zipungue.
 
Zitto kabwe tu,na kuna siku atajikuta kapanda yeye ...rubani na air hostess
kigoma wateja wa ATCL ni wengi mno na ndosababu haujawahi kusikia njia hii imesitishiwa usafiri maana ndiko wanakochuma pesa. Kilio cha wengi ni gharama (bei) kama ingekuwa nafuu ingekuwa mara tatu ya ilivyo sasa.
 
Jiji La DAR linapaswa kuwa na shirika lake la Ndege, na nina uhakika Mkuu wetu wa Jiji anaweza kulifanya kwa ufanisi mkubwa kama kawaida yake... JIJI LANGU, NDEGE YANGU, "DAR AIRLINES"
 
Jiji La DAR linapaswa kuwa na shirika lake la Ndege, na nina uhakika Mkuu wetu wa Jiji anaweza kulifanya kwa ufanisi mkubwa kama kawaida yake... JIJI LANGU, NDEGE YANGU, "DAR AIRLINES"
Dar Airlines au Zero "Fa Fa Fa" Airlines?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…