ATCL: Dom-Kigoma-Dar?

ATCL: Dom-Kigoma-Dar?

Sasa Kigoma wanaenda kutafuta nn?
Kimsingi Kigoma ina wateja ukilinganisha na Dodoma, nadhani hiyo stop ya Dodoma ni kama ku-introduce route kama kupiga amshaamsha (wameona gharama ya kuirudisha ndege Dar itakuwa tupu hivyo kwa kuwa Kigoma kuna abiria nadhani ikabidi hiyo route wai-link na Dodoma ili wakirudi Dar warudi na abiria wa kutosha kutoka Kigoma). Hapo tu ni kama ile route ya zamani ya Dar - Mwanza kupitia Kilimanjaro wakati huo huo kuna route nyingine ya moja kwa moja ya Dar - Mwanza
 
Amsha Amsha ni kupiga promo kwenye media pamoja na kutoa offer za kutosha.
 
Wakianza shuka na Tabora, ndio utachoka, itakua Dom-Tabora-Kigoma-Dar, unaingi dar saa 7 mchana
 
Dodoma abiria wapo wa kutosha, tatizo ni hizo ratiba za ajabu na nauri isiyoeleweka. Abiria anaona bora apande basi kuliko ndege inayochukua masaa matano kufika
Bura kupanda kibinyiko au shabib
 
Back
Top Bottom