SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,756
Unakaa na tiketi miezi 6 ya nn? unawaachia airline hela miezi 6 (mambo ya dharura unayapigia hesabu?) anyway bado Fastjet anaongoza TZ. Pamoja na figisu figisu za hapa na pale.Ila ticket ya ATCL ipo valid kwa 6 months (ukiangalia bei utaona fastjet bei nafuu lakini hakuna cancellation na hata kama wataruhusu itabidi uongezee kulingana na bei ya siku hiyo.
Akili zako zinakutosha kunywea maji tuMkuu mwaka jana December shirika la ndege ATCL lilifuta safari zote za mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Tanga kwa amri kutoka juu kwa sababu mbili kubwa:
1) Kuwapa wakati mgumu wakazi na wageni waliopanga kutembelea maeneo hayo kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
2) Serikali haikupenda kabisa mtu anayeitwa LOWASSA kupanda ndege zake.
Safari za Kilimanjaro zimeanza tena
Operation ya fastjet ni tofauti na ya precision air na ATCL, unatakiwa ujiulize kwanini yeye bei zake zio chini alafu hawa wengine wapo juu lakini wana survive, ukijiuliza hapo ndio utapata jibu (walikuja Community airline, wakaja 540 na sasa Fastjet), ukibahatisha ticket ya 79000 ujue kuna wengine wamelipa 300,000, na mara nyingi wanaolipa 79,000 si wateja hasa wa huu usafiri (fanya uchunguzi akikosa hiyo anapanda bus)Unakaa na tiketi miezi 6 ya nn? unawaachia airline hela miezi 6 (mambo ya dharura unayapigia hesabu?) anyway bado Fastjet anaongoza TZ. Pamoja na figisu figisu za hapa na pale.
Fastjet inaboa sana na hawako organizedATCL return ticket Mbeya Dar 280,000. Fast jet return ticket the same route 380,000/ Nina ticket hapa ya bombadier Mbeya Dar
Wewe ndo haupo Organised Unafikiri ndege ni KIMBINYIKO?Fastjet inaboa sana na hawako organized
Mmh basi kwa nauli hiyo ni rahisi sana kwa atakaetaka kwenda kigoma akapandie dodoma manake nauli yake ni zaidi ya 600000. HahaWana JF,
Naomba msaada kwa wenye kujua taratibu za ndege/aviation, nilitaka kukwea pipa toka Dodoma to Dar sasa nimechek ATCL naona nauli 165,000/= (one-way) lakini tunatoka Dodoma to Kigoma kisha ndo tunakuja Dar...KWA UTARATIBU ufuatao;
(Reporting time 05:30am) DEPARTURE TIME (Dodoma) 07:30am
ARRIVAL TIME (Dar) 11:40am
NAULI = 165,000/=???
*** Kwa utaratibu huu si bora niweke mafuta kwenye Ki-ESCUDO changu nitoke Dodoma saa 10 alfajiri by saa 3 asubuhi nipo dar? ATC hebu fanyeni namna kutuvutia wana-Dodoma tukwee hiyo Kitu.
Muda si mrefu wataanza kuomba ruzuku serikalini,kaagiza mindege mingine minne, ataipaki kwa kukosa abiriaATCL wameanza kufanya Biashara kumfurahisha bwana yule hii inaonyesha Dodoma hamna abiria wengi na ndio maana wanataka wakawaunganishe na wale wa Kigoma,Biashara ya airline ngumu siyo kuwa na ndege tu.
Zitto kabwe tu,na kuna siku atajikuta kapanda yeye ...rubani na air hostessLabda kuna abiria wengi wa dom-Kig
Hamna Mkuu kungekuwa Kigoma kuna abiria wengi wangekuwa wanaenda direct kutoka Dar,Kigoma mara nyingi abiria ni 30-40Zitto kabwe tu,na kuna siku atajikuta kapanda yeye ...rubani na air hostess
Of course ana bei nafuu, ila kwa msafiri wa ndege mzoefu lazima atawaona chenga fastjet, sema tu wadau wengi wanamwona mwokozi kwa kuwa hawajapata fursa ya kulinganisha na sehemu nyingine. Mie wale huwa nawapenda kama bei ipo chini ya 150,000 pamoja na mzigo lakini zaidi ya hapo napanda mangalangala yetu (precision air na ATCL)Fastjet inaboa sana na hawako organized
Mkuu unataka kumaanisha nini,fOperation ya fastjet ni tofauti na ya precision air na ATCL, unatakiwa ujiulize kwanini yeye bei zake zio chini alafu hawa wengine wapo juu lakini wana survive, ukijiuliza hapo ndio utapata jibu (walikuja Community airline, wakaja 540 na sasa Fastjet), ukibahatisha ticket ya 79000 ujue kuna wengine wamelipa 300,000, na mara nyingi wanaolipa 79,000 si wateja hasa wa huu usafiri (fanya uchunguzi akikosa hiyo anapanda bus)
Unavyeti kudhibitisha ukada wako na chama unachokinadi?Makada na sisi tupewe Complementary angalau 50% OFF angalau tuifaidi ndege yetu.
Namaanisha huu usafiri wa Fastjet (wa vigezo na masharti), mara nyingi tunautumia kutokana na timing ya zile ticket zetu flani zile za 79,000 au 101,000 (of course ni nzuri hata mie huwa ninazivia hizi na wengi wa wananchi wakikosa wanarudi kwenye usafiri wetu wa kawaida uliotukuza), kama angalau mara moja mtu aliwahi kutumia hizo option nyingine yaani Precisionair na ATCL ambao operation yao ni tofauti na fastjet (nikimaanisha thamani ya ticket yaan just incase ndege imekatwa hatua gani inachukuliwa ku-rescue situation yaani haki za abiria zinazingatiwa ikiwa pamoja na kupewa ndege nyingine either ya kukodi au vipi na kama ni vinginevyo unapewa vocha ya malazi na hotel kwa next day kitu ambacho kwa fastjet hakipo, ndo nikasema kama price ya fastjet ikiwa zaidi ya 150,000 yaani inakaribiana na hawa wengine kwa mie huwa naona bora kuchukua hawa wengine maana inakuwa hamna maana ya kununua ticket ya 187,000 (one way) alafu bado vigezo a masharti kibao wakati hizi zingine ambazo inajulikana kila kitu kimezingatiwa. Nina imani nikifanya hivi zitamfanya "kasuku" azidi kutoa bei ambazo ni affordable baada ya kuona ikipanda kidogo watu wanahamaMkuu unataka kumaanisha nini,f
Panda precision bossWana JF,
Naomba msaada kwa wenye kujua taratibu za ndege/aviation, nilitaka kukwea pipa toka Dodoma to Dar sasa nimechek ATCL naona nauli 165,000/= (one-way) lakini tunatoka Dodoma to Kigoma kisha ndo tunakuja Dar...KWA UTARATIBU ufuatao;
(Reporting time 05:30am) DEPARTURE TIME (Dodoma) 07:30am
ARRIVAL TIME (Dar) 11:40am
NAULI = 165,000/=???
*** Kwa utaratibu huu si bora niweke mafuta kwenye Ki-ESCUDO changu nitoke Dodoma saa 10 alfajiri by saa 3 asubuhi nipo dar? ATC hebu fanyeni namna kutuvutia wana-Dodoma tukwee hiyo Kitu.