mkomatembo
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 1,477
- 819
Jamani hii nchi imeoza, inahitaji ukombozi wa nguvu - inahitaji serikali ambayo itakuwa ikisikia Challenger amefisaji haraka sana wanakuja nyumbani kwangu na kuchukua kile kinachowezekana ambacho kitaringana na dhamani ya ufisaji halafu kwenda gerezaji ili kwenda kujifunza uzalendo na uzawa.
Huu mtiririko wa wizi ukianzia juu ni vigumu sana kuu-control kuliko ukianzia chini. Mfano iwapo mtoto akichemka ni rahisi sana kumuonya na kumhadabisha iwapo wewe baba ni muadilifu - ndipo nina maana wizi ukianzia chini ni rahisi kuu-control. Aidha ikiwa baba nimekubuhu kufanya madudu mtoto akifanya yale yale sitapata nguvu ya kumuonya na kumuadabisha.
Hii ndiyo hali halisi madudu, wizi, ufisadi umeanzia toka pale Magogoni - "White House", je unategemea rais atamwambia nini waziri, waziri atamwambia nini Katibu, makatibu na mwaziri watawaambia nini wakurugenzi, hivyo hivyo hadi chini iwapo wooote hawa ni wezi.
Nchi hii ina kundi kubwa la viongozi ambao hawana uchungu na nchi hii!!
Kuna siku niliambiwa gharama ya majoho wanayovaa madiwani wa halmashauri yangu BP ikapanda, sijui majoho yale yanasaidia nini kwenye vikao vyao. Tumekuwa kama taifa la vichaa.ukipita sekta zote za serikali ndio utajua hii nchi tunaweza kujenga bara bara zetu wenyewe
Mie ninavyojua uniform zinakuwa kwa akina dada ni suruali au sketi zinazoishia kwenye magoti kwa sababu wakati wa kuokoa abiria unahitaji kutembea kwa haraka. Sasa vitenge kama mnahudhuria kongomano la uamsho kidogo nachelea kuoana hili chaguo na safety issue wakati wa hatari. Ni ushauri tu.
View attachment 55803
Hizi ndio nguo za wafanyakazi wa ndani ya ndege za Air Tanzania, kuhusu bei nakubaliana sio sawa na je kuhusu aliyeweka hiyo picha ya wanafunzi yeye alimaanisha nini?? Tusiwe na ushabiki unaopitiliza hadi kuondoa maana nzima!!
Kuna wakati nikiitwa mTanzania najisikia vibaya.
Hizi zinakubalika, siyo zile za wanakwaya ya mt...
Kukubalika kua zina-cost $50,000 au??
YALEYALE ya kizungumkuti cha mwenye 'LICHAMA' kumpasia Uenyekiti and possibly mgombea Urais come 2015, Mkwe wake! Maajabu hayabagui, yapo kotekote..kushoto na kulia, nyuma na mbele! Tusubiri kuona mengi zaidiMwakyembe anapayuka ili kujustify usanii wa kumuweka binamu yake. Mpaka CAG atakapokagua hapo na kuthibitisha hayo matumizi ndo nitaamini. Amejumlisha gharama za safari na malazi ya hao maafisa kwenye uniform bila ya kueleza cost per unit uniform ni shs ngapi. Sasa mitanzania mijinga ikishaona tu inakurupuka na kusema huu ni ufisadi. Haiingii akilini maafisa wa shirika waende kushona nguo uchina halafu wakae huko huko kuzisubiria. Tupate taarifa kutoka upande wa pili ndio tufanye judgement. We hujiulizi kwa nini Mwakyembe alikuwa anaongea kwa jazba na kutokwa na mapovu?? Anataka kuficha kukurupuka kwake.
Ok
huyo bwana anaetetea doller 50,000 embu tumsaidie kwanza kimahesabu
50,000 *1600 =80,000,000 (wasiojua ni million themanini)
waliokaa huko siku 45 wawili @250 usd
250usd*45*2=22,500 usd hizi ni sawa na 22,500*1600=36,000,00o yaani million thelathini na sita /2
kila mmoja aliondoka na million 18,000...ok
million 80,000-36,000=44,000,000
tkt kwa watu wawili
doller 478 walipata discount *2 =956 appr 1000 usd/sawa na 1,600,000
million 44-milli 1.6
baki million 42.4 ok tufanye million 42
sasa basi na akili yako wewe unaetetea hili chukua 42,000,000/17=2,470,588 million@uniform
ok toa laki 470 kwa kila mtu peleka kwa dalali alietoa hilo dili usiulize wapi
470,000*17 =7990000 hizi za udalali
nchi gani inatengeneza nguo kwa million 2??ukiacha kwenu sumbawanga???
Mmmh! Mbona zimekaa kihoteli hoteli zaidi??
To be specific, ni sawa na USD 4083 kila moja.Ni Tshs 78,000,000 na ni wastani wa 4,000,00 kwa jozi moja, Tanzaniaaaaaaa ehe!
Mwakyembe anapayuka ili kujustify usanii wa kumuweka binamu yake. Mpaka CAG atakapokagua hapo na kuthibitisha hayo matumizi ndo nitaamini. Amejumlisha gharama za safari na malazi ya hao maafisa kwenye uniform bila ya kueleza cost per unit uniform ni shs ngapi. Sasa mitanzania mijinga ikishaona tu inakurupuka na kusema huu ni ufisadi. Haiingii akilini maafisa wa shirika waende kushona nguo uchina halafu wakae huko huko kuzisubiria. Tupate taarifa kutoka upande wa pili ndio tufanye judgement. We hujiulizi kwa nini Mwakyembe alikuwa anaongea kwa jazba na kutokwa na mapovu?? Anataka kuficha kukurupuka kwake.
Wanajamvi, ndiyo Uniform zenyewe hizi, ndiyo hapo utakaposhindwa kushangaa na kuanza kujiuliza hivi ni lini tutaamua kuacha kujiaibisha wenyewe kwa mambo yaliyo wazi kama hili.