Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,697
- 4,914
Wewe kwa mawazo yako ungependekeza nauli iwe shilling ngapi kwa ihii root....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiwa kama Mfanyakazi wa ATCL niseme tu kwamba bahati kwenye mpango kazi wetu ruti hii ya Paris ipo.Pia tunachukukua mapendekezo ya kwenda Dubrovnik, Croatia. MWaka 2020 tutaanzisha safari za Kwenda Baghdad , Kabul,Hargeisa,Caracas pamoja na Havanna Cuba.Tutakuwa tunapanuka kadri hali itakaporuhusu.