1. Nimuunge Mkono PDIDY Kuhusu kusaidiwa kisaikolojia. Maana haiyumkiniki Nchi zote zilizotuzunguka ziwe na ndege na safari za uhakika sisi tuwe hivi. Ona Rwanda, Burundi,Uganda. Kenya usiseme kabisa.!!!!!!!!!Tunani sisi??????????? Kama hizo habari za kuaminika kuwa shirika la ndege ATC limeshindwa kufanya safari zake kutokea Dar kwenda Kigoma tangu tarehe 10 May 2010. Baada ya kubainika kuwa ndege iliyotakiwa kuruka siku hiyo kwenda kigoma kutoka Dar imevunjika kioo chake. Ipo siku watarusha ndege angani huku tanki la mafuta linavuja. TUOMBE MUNGU HAYA YASITOKEE HAPA KWETU WALA YASITOEE WAKATI WA BARIDI!
ATC = Anyway,Time Counts!