Atatumia Boeing 787-8 dreamliner ama atatumia ndege ya Rais?

Safari ya Rais bora atumie ndege ya AirTanzania kwenda huko sababu zile ndege ni za serikali na hazina route yeyote ya maana kwa sasa .....gharama atakayo tumia kwenye mashirika mengine inaweza kuwa karibu sawa tu maana First class kwenye mashirika mengine ni zaidi DOLLAR 7000 kwa kichwa sasa wakiwa zaidi ya watu 20 sibora atumie ndege yao na hela inabaki Tanzania.
Sidhani. Gharama ya kuiweka angani Dreamliner kwa lisaa limoja ni $10,000+. Bado kuna gharama za airport huko itakakokuwa na mengineyo. Sijui ni masaa mangapi kutoka hapa mpaka huko Niu Yok na kurudi.

Yeye na viongozi wakuu wachache wangepanda executive class halafu wengine wanapanda business au economy. Viongozi wengi hufanya hivyo ili kuepuka gharama.

Screenshot_20210918-102835_Google.jpg
 
Back
Top Bottom