Atamaliza kusoma hiki kitabu

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Akifuatilia maelekezo!
 
Attachments

  • MANUAL.jpg
    MANUAL.jpg
    8 KB · Views: 819
Chezea wanawake weye? hadi amalize atakuwa ameshasahau zaidi ya robo tatu,afu hiyo ndo vol,1
 
soma chapter10 ile inayosema "ukitaka usikimbiwe fanya haya.........."
hiyo nDO MPANGO MZIMA
 
Kazi anayo! Hapo kila baada ya chapter kuna maswali ili kupima kama ameelewa!
 
amekosea hiyo manual ninayo na imenisaidia sana kumwelewa wife ila nilianzia kusoma mwisho.
 
Ukitaka kumuelewa mwanamke inabidi uanze kwanza kumuelewa mwanamke! kwanini? "kwasababu mwanamke alitokana na mwanaume"
Katika uumbaji, Mungu alichukua ubavu wa mwanaume na katika huo alitwaliwa mwaname, so haiwezekana kumuelewa mwanamke kama hujaweza kumuelewa mwanaume.
Ok, kwamfano unataka kuelewa juice ya machungwa ilivyo, ukikazania kutafiti juice ywnyewe utachukua muda mrefu sana, kitu rahisi kabisa ni kutafiti machungwa, au kuelewa machungwa yaliyotengeneza juice
Kazi mnayo mnaokomaa kumuelewa mwanamke, you will never in your life time
 
Na hiyo ni Volume I, Kazi Kwelikweli!

Si ndio hapo sasa? Na siku ya mtihani wake wanafanyia kwenye uwanja wa mpira mita 18 kutoka dawati moja mpaka jingine hakuna kupiga chado/desa kwa jirani.
 
Ukitaka kumuelewa mwanamke inabidi uanze kwanza kumuelewa mwanamke! kwanini? "kwasababu mwanamke alitokana na mwanaume"
Katika uumbaji, Mungu alichukua ubavu wa mwanaume na katika huo alitwaliwa mwaname, so haiwezekana kumuelewa mwanamke kama hujaweza kumuelewa mwanaume.
Ok, kwamfano unataka kuelewa juice ya machungwa ilivyo, ukikazania kutafiti juice ywnyewe utachukua muda mrefu sana, kitu rahisi kabisa ni kutafiti machungwa, au kuelewa machungwa yaliyotengeneza juice
Kazi mnayo mnaokomaa kumuelewa mwanamke, you will never in your life time

Nimepigia mstari kuonyesha msisitizo. Mwanamume hawezi kumwelewa mwanamke, halikadhalika mwanamke hawezi kumwelewa mwanamume maisha yao yote; ni kwa sababu wakati mwanamume anaumbwa, mwanamke hakuwepo (alikuwa hajaumbwa) na wakati mwanamke anaumbwa, mwanamume alikuwa amelala. Siri yao anayo Mungu pekee na ndiye pekee anayewaelewa. Iliyobaki tuishi tu kwa imani na kuvumiliana.
 
Ukiona kitabu kikubwa sana ujue wanawake ni watata sana hivyo maelezo na mbinu zinatakiwa nyingi.
 
Hivi ndivyo tunavyofeli mitihani kwa kushindwa kufikiria. Unaweza kukuta kuna picha tu from cover to cover.
 
Back
Top Bottom