Atakuwa anawaza nini?

Atakuwa anawaza nini?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,252
Najaribu kumtazama huyu afande wa magereza simpatii picha. Najaribu hapa chini kuona mawazo yake
1. Huyu jamaa ni kiumbe ( specie) wa aina gani?
2. Tusamehe ni majukumu tu
3. Huyu mtu anajiamini nini?
20250519_161627.jpg
 
Back
Top Bottom