Atakua chama gani huyu

Atakua chama gani huyu

Mfilisti

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
3,729
Reaction score
19,466
kwa wenye uzoefu wa siasa huyu atakua upande gan
 

Attachments

  • 1445437734026.jpg
    1445437734026.jpg
    23.7 KB · Views: 1,322
huyo ni chadema maana amejitamulisha kwa alama mbili 1. kilemba 2. vidole
ukilinganisha na hzo nyingne ni sign moja moja..
au umeshasahau kula ccm KURA ukawa?
 
Usijali, huyo ni UKAWA kamili kamili wala hana shida. Kura yake huyo ni kwa Lowasa full
 
Huyu mwanachama mpya wa UKAWA.

Mwanzoni alikuwa CCM mkereketwa, Mheshimiwa Lowasa alipoenda UKAWA na yeye akaunga nae
 
Huyu ni chadema kwenye akili amefunga anachoamini ndio maana akili imemyuma onesha vidole ishara ya Chadema au peace( amani) kwetu marasta na wavuta bangi , ishara hii ya finger maana yake wizi wa mifukooni kwa wanaokuja mjini sisi vibaka tunaielewa. Pipoooooooooooz hapa kazi tu mabadilikoooooooooo, zungusha zungusha, tunachukua tunaweka pwa
 
Huyu ni chadema kwenye akili amefunga anachoamini ndio maana akili imemtuma onesha vidole ishara ya Chadema au peace( amani) kwetu marasta na wavuta bangi , ishara hii ya finger maana yake wizi wa mifukoni kwa wanaokuja mjini ,sisi vibaka tunaielewa. Pipoooooooooooz, hapa kazi tu, mabadilikoooooooooo, zungusha zungusha, tunachukua tunaweka pwa
 
Hatufai kwenye safari yetu ya mabadiliko. Analima na kutazama nyuma
 
chadema huyo kwani kichwa ndo kina maamuzi na mikono ndo itakayopiga kura vyote hivo chadema kawapa
 
Back
Top Bottom