Atakamata mwizi kweli huyu?

Atakamata mwizi kweli huyu?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,461
Reaction score
829,856
1408352976545.jpg
 
ndio maaana kapewa bunduki anampasua kichwa kwisha habali
 
inabidi akamatwe yeye kwanini ameiba chakula na kukihifadhi mwili namna hiyo?
 
Hahahahah huyo hata kufunga kamba za viatu vyake sidhani kama anaweza maana hilo litumbo kuinama kazi kweli
 
Kitambi cha polisi ni corruption cave
 
mshana jr unacheza na avatar ya mtu humu JF. na btw, huko marekani au uingereza polisi akiwa na shepu hii anafukuzwa kazi.It is an anti-force, ungainly shape! Huku tanzania polisi wa aina hii hata cheo anapandishwa.So unprofessional!
 
Last edited by a moderator:
Huyo atakuwa wa uhamiaji, rushwa ya huko si ya vielfu 2. Kumbuka ajira huko uhamiaji ni kama kutafuta pepo.... Ni balaa
 
eti na yeye analalamika uvaaji chini ya makalio
 
Mazoezi muhimu, na hata kwa kazi yake mazoezi muhimu pia
 
Wezi siku hizi hawapigwi Tanganyika Jack tena.Huyo mbona mwembamba.
 
ndio yale yanayowaza usiku ukikucha yawa fuate watu mlangoni utazani ndio barabara zilipo ykisikia bomu hufa na presha
 
Kiukweli hawezi kamata mwizi hata kuinama kufunga kamba za viatu shida
 
Back
Top Bottom