Atakaeweza kuendeleza....

Katika mchezo wa Tausi mganga nani ka
Kalumanzila la, lala salama ma, mama mzazi zi,
zizi lang'ombe mbe, mbele ya nyumba mba,
mbali na wewe we, wembe wa kucha cha,
chakula kitamu mu, Mungu mkubwa bwa, bwawa la
samaki ki, king majuto to, tone la maji ji, jitu la
kale le, lenye midevu vu, vumbua dhahabu bu,
bubu asemi mi, mimi mdogo go, gogo la mti ti, ........................
Da umenikumbusha mbali nimejikuta naimba kwa sauti mpaka kila mtu akaangua kicheko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom