Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
WAPINZANI KUKIMBIA BUNGENI.Uongozi wa CHADEMA umesema kuwa wanajiweka karantini katika juhudi za kupambana na Corona, hii si mbaya kutokana na hali ilivyo.
Iwe ni kwenye KAMPENI hapo baadae au sasa hivi, atakayeuliza kwa nini CHADEMA hawahudhurii Bungeni, aulize pia kwanini Raisi Magufuli ameenda kujificha Chato? Nasema ni kujificha kwasababu ikulu Rasmi ni Magogoni, Chamwino tunasubiria atangaze rasmi kuhamia.
Tunatambua kuwa kila wilaya na mkoa una ikulu ndogo ambazo hata Maraisi wengine walikuwa wakifikia wakiwa kwenye ziara ama kampeni, lakini hii ya kukaa siku 35+ (Tangu tarehe 28 March, 2020) hajawahi kutokea. Hata Nyerere alikuwa akienda Butiama ila hii.. Ni kukimbia mpambano wa Corona.
Hivi na Mabunge ya EAST AFRICA yanaendelea?? Tumezoea Bunge la bajeti katika nchi za Afrika Mashariki zikiwa kwenye vikao vya Bunge katika kipindi kinachofanana. Hata Bajeti kuu husomwa kwa siku moja.
TUENDELEE KUJILINDA NA CORONA
Ukiwashinda kwa hoja wanakimbilia kukwambia kuwa unamdhalilisha RAIS, yaani wanajificha kwenye kivuli cha Urais ili uonekane hufai....aulize pia kwanini Raisi Magufuli ameenda kujificha Chato? Nasema ni kujificha kwasababu ikulu Rasmi ni Magogoni, Chamwino tunasubiria atangaze rasmi kuhamia.
Kwahiyo hao washauri wamemshauri akajifiche Chato halafu awahamize raia wachape kazi huku wakijifia kama kuku kwa covid19, serikali kazi yaoni kuwazika usiku eti !!Unafikiri Rais ni km meya wa ubungo ?
Rais amezungukwa na washauri
Yeye hafanyi maamuzi anafuata Maelekezo
Chadema msijifiche kwa Rais mmtusaliti wapiga kura wenu tunawasubiri October tuwafute kwenye Siasa za Upinzani Tanzania
Kwani October kuna uchaguzi au uchafuzi?Rais amezungukwa na washauri
Yeye hafanyi maamuzi anafuata Maelekezo
Chadema msijifiche kwa Rais mmtusaliti wapiga kura wenu tunawasubiri October tuwafute kwenye Siasa za Upinzani Tanzania
Ukiuliza hivyo wanakuwa wakali kama nyuki, wanabaki kusema Ikulu ni popote!Uongozi wa CHADEMA umesema kuwa wanajiweka karantini katika juhudi za kupambana na Corona, hii si mbaya kutokana na hali ilivyo.
Iwe ni kwenye KAMPENI hapo baadae au sasa hivi, atakayeuliza kwa nini CHADEMA hawahudhurii Bungeni, aulize pia kwanini Raisi Magufuli ameenda kujificha Chato? Nasema ni kujificha kwasababu ikulu Rasmi ni Magogoni, Chamwino tunasubiria atangaze rasmi kuhamia.
Tunatambua kuwa kila wilaya na mkoa una ikulu ndogo ambazo hata Maraisi wengine walikuwa wakifikia wakiwa kwenye ziara ama kampeni, lakini hii ya kukaa siku 35+ (Tangu tarehe 28 March, 2020) hajawahi kutokea. Hata Nyerere alikuwa akienda Butiama ila hii.. Ni kukimbia mpambano wa Corona.
Hivi na Mabunge ya EAST AFRICA yanaendelea?? Tumezoea Bunge la bajeti katika nchi za Afrika Mashariki zikiwa kwenye vikao vya Bunge katika kipindi kinachofanana. Hata Bajeti kuu husomwa kwa siku moja.
TUENDELEE KUJILINDA NA CORONA
Kweli imezungukwa na wahuni kama wewe,kwani hujamsikia mama Samia?Rais amezungukwa na washauri
Yeye hafanyi maamuzi anafuata Maelekezo
Chadema msijifiche kwa Rais mmtusaliti wapiga kura wenu tunawasubiri October tuwafute kwenye Siasa za Upinzani Tanzania
CORONA INAUWAUongozi wa CHADEMA umesema kuwa wanajiweka karantini katika juhudi za kupambana na Corona, hii si mbaya kutokana na hali ilivyo.
Iwe ni kwenye KAMPENI hapo baadae au sasa hivi, atakayeuliza kwa nini CHADEMA hawahudhurii Bungeni, aulize pia kwanini Raisi Magufuli ameenda kujificha Chato? Nasema ni kujificha kwasababu ikulu Rasmi ni Magogoni, Chamwino tunasubiria atangaze rasmi kuhamia.
Tunatambua kuwa kila wilaya na mkoa una ikulu ndogo ambazo hata Maraisi wengine walikuwa wakifikia wakiwa kwenye ziara ama kampeni, lakini hii ya kukaa siku 35+ (Tangu tarehe 28 March, 2020) hajawahi kutokea. Hata Nyerere alikuwa akienda Butiama ila hii.. Ni kukimbia mpambano wa Corona.
Hivi na Mabunge ya EAST AFRICA yanaendelea?? Tumezoea Bunge la bajeti katika nchi za Afrika Mashariki zikiwa kwenye vikao vya Bunge katika kipindi kinachofanana. Hata Bajeti kuu husomwa kwa siku moja.
TUENDELEE KUJILINDA NA CORONA
Rais amezungukwa na washauri
Yeye hafanyi maamuzi anafuata Maelekezo
Chadema msijifiche kwa Rais mmtusaliti wapiga kura wenu tunawasubiri October tuwafute kwenye Siasa za Upinzani Tanzania
Walipokuwa wakiimba raisi atoke chato,na wao kilichowakimbiza ni nini?Uongozi wa CHADEMA umesema kuwa wanajiweka karantini katika juhudi za kupambana na Corona, hii si mbaya kutokana na hali ilivyo.
Iwe ni kwenye KAMPENI hapo baadae au sasa hivi, atakayeuliza kwa nini CHADEMA hawahudhurii Bungeni, aulize pia kwanini Raisi Magufuli ameenda kujificha Chato? Nasema ni kujificha kwasababu ikulu Rasmi ni Magogoni, Chamwino tunasubiria atangaze rasmi kuhamia.
Tunatambua kuwa kila wilaya na mkoa una ikulu ndogo ambazo hata Maraisi wengine walikuwa wakifikia wakiwa kwenye ziara ama kampeni, lakini hii ya kukaa siku 35+ (Tangu tarehe 28 March, 2020) hajawahi kutokea. Hata Nyerere alikuwa akienda Butiama ila hii.. Ni kukimbia mpambano wa Corona.
Hivi na Mabunge ya EAST AFRICA yanaendelea?? Tumezoea Bunge la bajeti katika nchi za Afrika Mashariki zikiwa kwenye vikao vya Bunge katika kipindi kinachofanana. Hata Bajeti kuu husomwa kwa siku moja.
TUENDELEE KUJILINDA NA CORONA
Mkoa wa Geita una wilaya tano, yaani Bukombe, Chato, Geita, Mbogwe na Nyang'hwale. Na katika wilaya hizo makao makuu ya mkoa yapo wilaya ya Geita. Katika hali ya kawaida hapo katika wilaya ya Geita ndipo yapo makazi ya Mkuu wa Mkoa na ndipo inapopaswa kuwepo kwa ikulu ndogo, ama pengine tuseme ikulu ndogo pia zipo katika kila wilaya nchini pia!Uongozi wa CHADEMA umesema kuwa wanajiweka karantini katika juhudi za kupambana na Corona, hii si mbaya kutokana na hali ilivyo.
Iwe ni kwenye KAMPENI hapo baadae au sasa hivi, atakayeuliza kwa nini CHADEMA hawahudhurii Bungeni, aulize pia kwanini Raisi Magufuli ameenda kujificha Chato? Nasema ni kujificha kwasababu ikulu Rasmi ni Magogoni, Chamwino tunasubiria atangaze rasmi kuhamia.
Tunatambua kuwa kila wilaya na mkoa una ikulu ndogo ambazo hata Maraisi wengine walikuwa wakifikia wakiwa kwenye ziara ama kampeni, lakini hii ya kukaa siku 35+ (Tangu tarehe 28 March, 2020) hajawahi kutokea. Hata Nyerere alikuwa akienda Butiama ila hii.. Ni kukimbia mpambano wa Corona.
Hivi na Mabunge ya EAST AFRICA yanaendelea?? Tumezoea Bunge la bajeti katika nchi za Afrika Mashariki zikiwa kwenye vikao vya Bunge katika kipindi kinachofanana. Hata Bajeti kuu husomwa kwa siku moja.
TUENDELEE KUJILINDA NA CORONA
Rais amezungukwa na washauri
Yeye hafanyi maamuzi anafuata Maelekezo
Chadema msijifiche kwa Rais mmtusaliti wapiga kura wenu tunawasubiri October tuwafute kwenye Siasa za Upinzani Tanzania
Uongozi wa CHADEMA umesema kuwa wanajiweka karantini katika juhudi za kupambana na Corona, hii si mbaya kutokana na hali ilivyo.
Iwe ni kwenye KAMPENI hapo baadae au sasa hivi, atakayeuliza kwa nini CHADEMA hawahudhurii Bungeni, aulize pia kwanini Raisi Magufuli ameenda kujificha Chato? Nasema ni kujificha kwasababu ikulu Rasmi ni Magogoni, Chamwino tunasubiria atangaze rasmi kuhamia.
Tunatambua kuwa kila wilaya na mkoa una ikulu ndogo ambazo hata Maraisi wengine walikuwa wakifikia wakiwa kwenye ziara ama kampeni, lakini hii ya kukaa siku 35+ (Tangu tarehe 28 March, 2020) hajawahi kutokea. Hata Nyerere alikuwa akienda Butiama ila hii.. Ni kukimbia mpambano wa Corona.
Hivi na Mabunge ya EAST AFRICA yanaendelea?? Tumezoea Bunge la bajeti katika nchi za Afrika Mashariki zikiwa kwenye vikao vya Bunge katika kipindi kinachofanana. Hata Bajeti kuu husomwa kwa siku moja.
TUENDELEE KUJILINDA NA CORONA
Mnawasubiri na nani? na tangu lini ukawakilishwa na chadema?mwambie mwenye kiti wenu arudi ofisini kwanza,upumbavu wako ndio utumwa wakoRais amezungukwa na washauri