Atakaeuliza kwanini CHADEMA hawahudhurii vikao vya Bunge, aulize pia kwanini Rais yuko Chato kwa siku 35+??

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,066
2,000
Uongozi wa CHADEMA umesema kuwa wanajiweka karantini katika juhudi za kupambana na Corona, hii si mbaya kutokana na hali ilivyo.

Iwe ni kwenye KAMPENI hapo baadae au sasa hivi, atakayeuliza kwa nini CHADEMA hawahudhurii Bungeni, aulize pia kwanini Raisi Magufuli ameenda kujificha Chato? Nasema ni kujificha kwasababu ikulu Rasmi ni Magogoni, Chamwino tunasubiria atangaze rasmi kuhamia.

Tunatambua kuwa kila wilaya na mkoa una ikulu ndogo ambazo hata Maraisi wengine walikuwa wakifikia wakiwa kwenye ziara ama kampeni, lakini hii ya kukaa siku 35+ (Tangu tarehe 28 March, 2020) hajawahi kutokea. Hata Nyerere alikuwa akienda Butiama ila hii.. Ni kukimbia mpambano wa Corona.

Hivi na Mabunge ya EAST AFRICA yanaendelea?? Tumezoea Bunge la bajeti katika nchi za Afrika Mashariki zikiwa kwenye vikao vya Bunge katika kipindi kinachofanana. Hata Bajeti kuu husomwa kwa siku moja.

TUENDELEE KUJILINDA NA CORONA
 
Njilembera

JF-Expert Member
May 10, 2008
1,481

WAPINZANI KUKIMBIA BUNGENI.

Na Thadei Ole Mushi

1. Nchi bila budget kupitishwa haiwezi kwenda kabisa hili kila Mtanzania anajua.

2. Kuendelea kukusanyika hapo Bungeni huku mkiwa na kila dalili kuwa Kuna maambukizi ni kudhulumu na kuhujumu maisha ya wabunge wetu.

3. Kitendo Cha Wapinzani kukimbilia nyumbani nakipongeza kwa dhati kabisa. Wameomba mengi kupitia ugonjwa huu Kama kupima wabunge wote nk lakini hawakusikilizwa, kunguru mwoga huponya Mbawa zake. Wangekimbia huku kukiwa ushauri wao ulishachukuliwa ningefikiri tofauti na kuwaona wasaliti.

4. Dunia ya Science na Technology bado Spika analazimisha lazima mfungue milango ya bunge ndio budget ipite. Zingeweza kutumiwa njia nyingine za Kisayansi budget husika ikapita. Hii itasaidia kuwatoa wabunge wetu kwenye maeneo hatarishi na kuwarudisha kukaa nyumbani na familia zao. Vyuo vyetu vikuu kila siku vinazalisha wataalamu wa computer tunashindwa nn? Miaka zaidi ya Hamsini ya Uhuru bado tunangangania kukaa kwa mkao ule ule wa Bunge la Adam Sap Mkwawa? Tubadikike tupo zaidi ya hapo kwa Sasa.....

5. Kukimbia kwa Wapinzani hakutaathri chochote maana hata mawazo yao ndani ya Budget huchukuliwa kwa hisani hata Kama una manufaa kiasi gani. Kama tunaweza kutupa hotuba zao mbadala hapo Bungeni wanaendelea kufanya nini hapo?. Mm ni CCM ila nawapongeza katika hili, kwanza wamewalinda wengine, wamejikinda wao na hata wamelinda familia zao. Hata Borris alipokutwa na maambukizi alikimbilia kujitenga.

Ole Mushi
0712702602
 
Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,939
2,000
Rais amezungukwa na washauri

Yeye hafanyi maamuzi anafuata Maelekezo

Chadema msijifiche kwa Rais mmtusaliti wapiga kura wenu tunawasubiri October tuwafute kwenye Siasa za Upinzani Tanzania
 
Trillion

JF-Expert Member
Apr 24, 2018
1,329
2,000
MACCM ni yakupuuzwa tu. Yanachoweza ni propaganda tu nchi Imesha washinda hii.
Nawapongeza Viongozi wa CHADEMA Uamuzi walio chukua ni SAHIHI kuokoa maisha ya Wabunge wetu.
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,191
2,000
aulize pia kwanini Raisi Magufuli ameenda kujificha Chato? Nasema ni kujificha kwasababu ikulu Rasmi ni Magogoni, Chamwino tunasubiria atangaze rasmi kuhamia.
Ukiwashinda kwa hoja wanakimbilia kukwambia kuwa unamdhalilisha RAIS, yaani wanajificha kwenye kivuli cha Urais ili uonekane hufai....
 
Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,150
2,000
Unafikiri Rais ni km meya wa ubungo ?

Rais amezungukwa na washauri

Yeye hafanyi maamuzi anafuata Maelekezo

Chadema msijifiche kwa Rais mmtusaliti wapiga kura wenu tunawasubiri October tuwafute kwenye Siasa za Upinzani Tanzania
Kwahiyo hao washauri wamemshauri akajifiche Chato halafu awahamize raia wachape kazi huku wakijifia kama kuku kwa covid19, serikali kazi yaoni kuwazika usiku eti !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
10,792
2,000
Rais amezungukwa na washauri

Yeye hafanyi maamuzi anafuata Maelekezo

Chadema msijifiche kwa Rais mmtusaliti wapiga kura wenu tunawasubiri October tuwafute kwenye Siasa za Upinzani Tanzania
Kwani October kuna uchaguzi au uchafuzi?
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,778
2,000
Uongozi wa CHADEMA umesema kuwa wanajiweka karantini katika juhudi za kupambana na Corona, hii si mbaya kutokana na hali ilivyo.

Iwe ni kwenye KAMPENI hapo baadae au sasa hivi, atakayeuliza kwa nini CHADEMA hawahudhurii Bungeni, aulize pia kwanini Raisi Magufuli ameenda kujificha Chato? Nasema ni kujificha kwasababu ikulu Rasmi ni Magogoni, Chamwino tunasubiria atangaze rasmi kuhamia.

Tunatambua kuwa kila wilaya na mkoa una ikulu ndogo ambazo hata Maraisi wengine walikuwa wakifikia wakiwa kwenye ziara ama kampeni, lakini hii ya kukaa siku 35+ (Tangu tarehe 28 March, 2020) hajawahi kutokea. Hata Nyerere alikuwa akienda Butiama ila hii.. Ni kukimbia mpambano wa Corona.

Hivi na Mabunge ya EAST AFRICA yanaendelea?? Tumezoea Bunge la bajeti katika nchi za Afrika Mashariki zikiwa kwenye vikao vya Bunge katika kipindi kinachofanana. Hata Bajeti kuu husomwa kwa siku moja.

TUENDELEE KUJILINDA NA CORONA
Ukiuliza hivyo wanakuwa wakali kama nyuki, wanabaki kusema Ikulu ni popote!
 
mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
3,946
2,000
Rais amezungukwa na washauri

Yeye hafanyi maamuzi anafuata Maelekezo

Chadema msijifiche kwa Rais mmtusaliti wapiga kura wenu tunawasubiri October tuwafute kwenye Siasa za Upinzani Tanzania
Kweli imezungukwa na wahuni kama wewe,kwani hujamsikia mama Samia?
 
Administer

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
703
1,000
Uongozi wa CHADEMA umesema kuwa wanajiweka karantini katika juhudi za kupambana na Corona, hii si mbaya kutokana na hali ilivyo.

Iwe ni kwenye KAMPENI hapo baadae au sasa hivi, atakayeuliza kwa nini CHADEMA hawahudhurii Bungeni, aulize pia kwanini Raisi Magufuli ameenda kujificha Chato? Nasema ni kujificha kwasababu ikulu Rasmi ni Magogoni, Chamwino tunasubiria atangaze rasmi kuhamia.

Tunatambua kuwa kila wilaya na mkoa una ikulu ndogo ambazo hata Maraisi wengine walikuwa wakifikia wakiwa kwenye ziara ama kampeni, lakini hii ya kukaa siku 35+ (Tangu tarehe 28 March, 2020) hajawahi kutokea. Hata Nyerere alikuwa akienda Butiama ila hii.. Ni kukimbia mpambano wa Corona.

Hivi na Mabunge ya EAST AFRICA yanaendelea?? Tumezoea Bunge la bajeti katika nchi za Afrika Mashariki zikiwa kwenye vikao vya Bunge katika kipindi kinachofanana. Hata Bajeti kuu husomwa kwa siku moja.

TUENDELEE KUJILINDA NA CORONA
CORONA INAUWA
 
NewOrder

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,330
2,000
Rais amezungukwa na washauri

Yeye hafanyi maamuzi anafuata Maelekezo

Chadema msijifiche kwa Rais mmtusaliti wapiga kura wenu tunawasubiri October tuwafute kwenye Siasa za Upinzani Tanzania

Sijui hili limekaaje. Unaweza kusema umesalitiwa na huenda mbunge wako ni kutoka CCM ambaye bado yuko bungeni.

Unazingumzia budget hizi ambazo ufanisi wake huwa ni 35% tu? Au unasahau inayotekelezwa ni ilani ya CCM na sio budget??

Kama unaamini ukishaondoka upinzani mambo ndio yatakuwa sawa, umekosea sana. Usiwatupie Chadema lawama, inayofanya kazi ni ilani ya CCM!!
 
Twamo

JF-Expert Member
May 27, 2017
2,249
2,000
Akili za wana ccm wanazijuaga wenyewe! Hakuna tofauti ya msomi wa PhD na darasa la IIA, yaani huoni tofauti kati ya Kibajaji na Mwigulu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
babu na mjukuu

JF-Expert Member
Jun 23, 2016
2,673
2,000
Uongozi wa CHADEMA umesema kuwa wanajiweka karantini katika juhudi za kupambana na Corona, hii si mbaya kutokana na hali ilivyo.

Iwe ni kwenye KAMPENI hapo baadae au sasa hivi, atakayeuliza kwa nini CHADEMA hawahudhurii Bungeni, aulize pia kwanini Raisi Magufuli ameenda kujificha Chato? Nasema ni kujificha kwasababu ikulu Rasmi ni Magogoni, Chamwino tunasubiria atangaze rasmi kuhamia.

Tunatambua kuwa kila wilaya na mkoa una ikulu ndogo ambazo hata Maraisi wengine walikuwa wakifikia wakiwa kwenye ziara ama kampeni, lakini hii ya kukaa siku 35+ (Tangu tarehe 28 March, 2020) hajawahi kutokea. Hata Nyerere alikuwa akienda Butiama ila hii.. Ni kukimbia mpambano wa Corona.

Hivi na Mabunge ya EAST AFRICA yanaendelea?? Tumezoea Bunge la bajeti katika nchi za Afrika Mashariki zikiwa kwenye vikao vya Bunge katika kipindi kinachofanana. Hata Bajeti kuu husomwa kwa siku moja.

TUENDELEE KUJILINDA NA CORONA
Walipokuwa wakiimba raisi atoke chato,na wao kilichowakimbiza ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
1,825
2,000
Uongozi wa CHADEMA umesema kuwa wanajiweka karantini katika juhudi za kupambana na Corona, hii si mbaya kutokana na hali ilivyo.

Iwe ni kwenye KAMPENI hapo baadae au sasa hivi, atakayeuliza kwa nini CHADEMA hawahudhurii Bungeni, aulize pia kwanini Raisi Magufuli ameenda kujificha Chato? Nasema ni kujificha kwasababu ikulu Rasmi ni Magogoni, Chamwino tunasubiria atangaze rasmi kuhamia.

Tunatambua kuwa kila wilaya na mkoa una ikulu ndogo ambazo hata Maraisi wengine walikuwa wakifikia wakiwa kwenye ziara ama kampeni, lakini hii ya kukaa siku 35+ (Tangu tarehe 28 March, 2020) hajawahi kutokea. Hata Nyerere alikuwa akienda Butiama ila hii.. Ni kukimbia mpambano wa Corona.

Hivi na Mabunge ya EAST AFRICA yanaendelea?? Tumezoea Bunge la bajeti katika nchi za Afrika Mashariki zikiwa kwenye vikao vya Bunge katika kipindi kinachofanana. Hata Bajeti kuu husomwa kwa siku moja.

TUENDELEE KUJILINDA NA CORONA
Mkoa wa Geita una wilaya tano, yaani Bukombe, Chato, Geita, Mbogwe na Nyang'hwale. Na katika wilaya hizo makao makuu ya mkoa yapo wilaya ya Geita. Katika hali ya kawaida hapo katika wilaya ya Geita ndipo yapo makazi ya Mkuu wa Mkoa na ndipo inapopaswa kuwepo kwa ikulu ndogo, ama pengine tuseme ikulu ndogo pia zipo katika kila wilaya nchini pia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,404
2,000
Uongozi wa CHADEMA umesema kuwa wanajiweka karantini katika juhudi za kupambana na Corona, hii si mbaya kutokana na hali ilivyo.

Iwe ni kwenye KAMPENI hapo baadae au sasa hivi, atakayeuliza kwa nini CHADEMA hawahudhurii Bungeni, aulize pia kwanini Raisi Magufuli ameenda kujificha Chato? Nasema ni kujificha kwasababu ikulu Rasmi ni Magogoni, Chamwino tunasubiria atangaze rasmi kuhamia.

Tunatambua kuwa kila wilaya na mkoa una ikulu ndogo ambazo hata Maraisi wengine walikuwa wakifikia wakiwa kwenye ziara ama kampeni, lakini hii ya kukaa siku 35+ (Tangu tarehe 28 March, 2020) hajawahi kutokea. Hata Nyerere alikuwa akienda Butiama ila hii.. Ni kukimbia mpambano wa Corona.

Hivi na Mabunge ya EAST AFRICA yanaendelea?? Tumezoea Bunge la bajeti katika nchi za Afrika Mashariki zikiwa kwenye vikao vya Bunge katika kipindi kinachofanana. Hata Bajeti kuu husomwa kwa siku moja.

TUENDELEE KUJILINDA NA CORONA

Ningekuwa ni mwana CCM wala nisingehoji Suala hili la CHADEMA kwani hata Mwenyekiti CCM nae ana mengi mno ya Kujibu.
 
kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
17,009
2,000
Rais amezungukwa na washauri

Yeye hafanyi maamuzi anafuata Maelekezo

Chadema msijifiche kwa Rais mmtusaliti wapiga kura wenu tunawasubiri October tuwafute kwenye Siasa za Upinzani Tanzania
Mnawasubiri na nani? na tangu lini ukawakilishwa na chadema?mwambie mwenye kiti wenu arudi ofisini kwanza,upumbavu wako ndio utumwa wako
 
sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
5,398
2,000
Kuna mambo hayapo wazi,kuhusu Raisi kuhamia Chato kwa muda usiojulikana.
Kwa kuwa hatujaambiwa sababu ya kukaa huko,kama binadamu ni haki yetu kuhoji.hasa wakati huu muhimu wa kupambana na Corona.
Mbona imegeuka Bongo Movie, Kuna nini Chato?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom