Jirani yangu amemtisha mkewe kumuacha kisa mke kamkataza kuwa karibu na mwanaume ambae anashukiwa ni shoga
hapa mnapata picha gani? Apartment yao iko close na yangu, niliyasikia hayo mm mwenyewe

swali zuri hilo.Tunapata picha kuwa huyo mume ni basha na ana husiana kweli na huyo shoga.
BTW 'kuwa karibu' unamaanisha nini? Kuwa majirani au kuwa na mazoea ? Maana wewe na mafumbo yako!