Katika maisha wazazi wote wana umuhimu kila mmoja kwa nafasi yake, kumpenda baba au mama zaidi inategemeana na jinsi alivyoku- influence katika maisha yako, niliwapenda wazazi wangu wote, ila nilisikitika baba yangu alivyofariki mapema na namna alivyokufa ghafla sikutegemea na niliumia kwa sababu alikuwa ni mtu mwenye afya. Katika maisha yangu ni mara mbili tu nilipomuona akiumwa.