At Last Daud Mwangosi is Laid to Rest

very sad sasa Wamefaidi nini kina said mwema na wenzake ccm
 
Mkuu ule haukuwa mwili wa marehemu bali ilikuwa ni nyama za marehemu.Kwenye mwili huone nyama za ndani.
 
Ama kweli binadamu ni kiumbe kisicho na thamani kikishatoka roho, Mungu tupe mwisho mzuri. Amin
 
huu hapa ndANI YA SANDUKU...KWELI NI NYAMA TU,.............
 

masikini, ameletwa duniani kupitia kwenye ttumbo la mama yake na anarudishwa na machuma ya kutengenezwa na binadamu, tulimpenda lakini bomu limempenda zaidi
R.I.P. DM
 
Duh, upumzike kwa amani mpiganaji

wote tupo njiani tunaelekea huko huko...

dah kweli kifo............
 
mwisho wa maarifa.
Mwisho wa ujanja.
Mwisho wa lawama.
Mwisho wa majivuno.
Mwisho wa matukano na maudhi.


bado sijakuelewa yaani ni km vile hujafa hujaumbika waswahili wanasemaga
 


mkewe ameshindwa kujizuia hapa...............
 
mwisho wa maarifa.
Mwisho wa ujanja.
Mwisho wa lawama.
Mwisho wa majivuno.
Mwisho wa matukano na maudhi.
heshima kwako mzazi wangu! Nipo nawe kwa masikitiko haya!
 
2kaze mwendo yote haya hatakwisha 2015 wakat cdm imeshika dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…