Chama chenye serikali katili hii ni sawa na mzee aliyemaliza siku za kuishi hivyo anafight against the appointed death. Lakini kadri anavyojitahidi kupambana na kuwa hai ndivyo anatengeneza mazingira ya kufa.Moto hauzimwi kwa petroli.This time walitaka kuruka moto wakati wanajua wamebeba pipa la petroli linalovuja.Mlipuko wake siyo mdogo!Poleni wafiwa, the innocent shed blood will never cease crying until justice is done.Almighty God the creator of the universe and everything in it is the GOD of JUSTICE, HE is watching!Ooooh Mighty God please intervene against the evil done to the helpless by these diabolical rulers!