Asubuhi njema wana CC!!!!!!!!!!

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,506
Reaction score
7,445
............................
>>>>Ndugu<<<<
>>>>>Je!<<<<<
>>>>Wajua<<<<
>>>>Kirefu<<< >>>>>Cha<<<<
Asubuhi njema?
""""""""""""""""
A =Amka
S :sali
U =Ukiamini
B =Bwana Mungu
U =Utimiza
H =Hitaji lako
I =Ipasavyo

N =Na
J =Jipe Moyo
E =Elewa kuwa
M =Mungu
A =Anakupenda sana
ASUBUHI NJEMA.
 
Amiiiiiiiina baba/mama..! Asubuhi njema nawe pia!
 
Asante sana.
Na wewe pia ASUBUHI NJEMA sana.
 
Asante sana.
Na wewe pia ASUBUHI NJEMA sana.

Unajijibia peke yako!
Unamsahau anakuwezesha mjini!
Mtu anatupa mihela yake kukutunza! Zikikam salamu humjumlishi kumjibia ! Unajijali wewe tu!
Kweli mwanamke si nduguyo!
 
Mtoamada wengine tumeamka hali ya hewa mbaya!
Winta kibwena! Kokwa moja above!
Kokwa ya pili down!
Yule mnyama meno selasini na nje yote mbili !
 
Mtoamada wengine tumeamka hali ya hewa mbaya!
Winta kibwena! Kokwa moja above!
Kokwa ya pili down!
Yule mnyama meno selasini na nje yote mbili !
Pole Kamanda!kunywa Konyagi itatulia au muarobain
 
Haaaa
Hivi umezamia huko kumbe, loooh,
Angalia wasikuite mkimbizi wa kisiasa;
chama safari yetu ya kigoma kuimarisha chama
itakuwa lini.

Marahaba@Mamndenyi,Kigoma wamenizuia kuludi mjini mapema wanataka uje kunikomboa,sababu ulisema utakuja na Chama kuimalisha chama
 
Last edited by a moderator:
Haaaa
Hivi umezamia huko kumbe, loooh,
Angalia wasikuite mkimbizi wa kisiasa;
chama safari yetu ya kigoma kuimarisha chama
itakuwa lini.

Hapana narudi wiki ijayo aisee!waziri mkuu ndo alietibua safari,si unajua watendaji wengi wapo katika msafara wake,mambo mengi yamesimama,akiondoka WM nami nitajisogeza nimemisi foleni za mvua JiJini
 
Last edited by a moderator:
Kweli nilisikia kuwa mheshimiwa atakuwa hapo
Nakutakia kila la heri sana,
Karibu huku kijijini kwetu tena.

Hapana narudi wiki ijayo aisee!waziri mkuu ndo alietibua safari,si unajua watendaji wengi wapo katika msafara wake,mambo mengi yamesimama,akiondoka WM nami nitajisogeza nimemisi foleni za mvua JiJini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…