Astra Projection

Kwanini Unaogopa Kifo nianze na Swali hilo kwanza
kifo kinatakiwa kiogopwe ili dhana ya uhai ipate nafasi, ingekuwa si kitu chakuogopesha watu kibao wangekuwa wameshajimaliza!.
kiumbe hai lzm kiogope kifo ni sehemu ya kulinda uhai
 
Nzuri sana na cha kuongezea

Kuogopa kufa tafsiri rahisi nikwamba unaogopa kuishi.
Maana kifo ni sehemu ya maisha.
Na kuogopa kufa hakukufanyi usife.
Nausipo kipenda kifo kwa moyo wako wote una kosa ladha ya kuishi.
 
Alie kwambia huko ninkuzimu kakulisha matango pori
 
Kuna rafiki yangu alifanya hii, na bado hua anafanya , kuna siku alisema atoke nje ya mwili na aende ikulu ya marekani, ndani mule, alichokutana nacho ilibid arud haraka kwemye mwili na akazinduka huku akihema kwa nguvu na jasho jingi hajawez kusema hadi leo alikutana na nini kila nikimhimiza aseme anabaki bubu,
Ila ndio michezo yake hii anapenda sana mambo ya spiritual spiritual
 
kifo kinatakiwa kiogopwe ili dhana ya uhai ipate nafasi, ingekuwa si kitu chakuogopesha watu kibao wangekuwa wameshajimaliza!.
kiumbe hai lzm kiogope kifo ni sehemu ya kulinda uhai
Kwanini Uulinde Uhai?
Dhana ya Maisha Baada ya Kufa Huiamini?
Kwanini Ukumbatie Dhana ya Material World na Huamini Spiritual Realm?

Yoyote mwenye Kuamini Kuwa Mwili huu wa Nyama na Damu Hautaurithi Ufalme wa Mbingu amewaza Vyema!

Na hivyo hakuna Haja ya Kuogopa Mwili utakaokuingiza Peponi!

Kuogopa Kifo ni Uoga wa Kuishi! Na Ubinafsi wa Kukumbatia Dunia hii kwa kuamini Unaacha mali zako ambazo hata hukuwa nazo Miaka 100 iliyopita..

Kama ambavyo hujui Ulikuwa Wapi kabla ya Kufika hapa Vivyo hivyo Usiogope Unaenda wapi baada ya Kutka Hapa..

Kifo ni funzo kuwa Hii ni njia ya Mwili na sio Njia ya Rohoo...

Na ndo maana Watu husema Dunia Sisi tu wapitaji...
 
Nzuri sana
 
umeenda huko tena! hatutamaliza acha mi niishie hapahapa!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…