Assume we ndo hakimu!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
(HAKIMU):swali kwako mtuhumiwa#1,je unakiri kwamba jana tarehe 30/05/2011,uliiba mahindi shambani kwa bwana juma? (MTUHUMIWA #2):Sikubali! (HAKIMU):sijakuuliza wewe,subiri swali lako! (MTUHUMIWA#3):Kwani mimi nimekujibu?,we hakimu umechanganyikiwa nini?
 
Naahirisha kesi kwa mwezi mmoja na hakuna dhamana kwa watuhumiwa wote!
 
By then kwa utaratibu wa kawaida wanapandishwa kizimbani moja mmoja so hakimu naye yumkini alichanganya vifungu ndiyo maana nao wakatumia mwanya huo kumnyanyasa...kwanza huyo hakimu kabila gani!
 
(HAKIMU):swali kwako mtuhumiwa#1,je unakiri kwamba jana tarehe 30/05/2011,uliiba mahindi shambani kwa bwana juma? (MTUHUMIWA #2):Sikubali! (HAKIMU):sijakuuliza wewe,subiri swali lako! (MTUHUMIWA#3):Kwani mimi nimekujibu?,we hakimu umechanganyikiwa nini?

Nadhani trick ipo kwenye red...labda mtuhumiwa #2 jina lake ni KWAKO, na mtuhumiwa #3 jinalake ni WEWE!lol
 
Kwa hiyo kama mtuhumiwa #2 jina lake ni JOHN,badala ya kusema swali KWAKO mtuhumiwa,hakimu angesema;swali JOHN mtuhumiwa!
 
Nooooooooooo...Hakimu hakutamka maneno hayo kama majina, ila vivumishi, ila watuhumiwa ndo wamejiconfuse...kwa kuwa na majina yao pia ni hayohayo!
 
Back
Top Bottom