Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
mawazo ya jk yangekuwa yangekuwa kama matapishi yangiruwe
ningekuwa nimeshafukuzwa kazi
madini kwanza,kilimo elimu badae msoma bwana.
mi huwa nawaza kwa kiwetu so watu wengine wasingenielewa kabisaaaaaaaa
Mawazo mengine bwana, unaweza ukawaza alaf katika kuwaza huko kunapelekea uso wako kukaa katika mkao kama vile anagugumia maumivu huku anatafuna miwa au mihogo mibichi, kumbe mtu anawaza mambo ya chumvini.